Recent content by onlytruth

  1. O

    Wanahabari Tanzania mmepewa Uhuru, mnakwama wapi?

    nadhani hili zigo tuwatwishe Jukwaa la wahariri (Tanzania Editorial Forum) wasiwe wepesi wepesi hivi,kupenda kusifia tu.wakubai kupokea na kuchapisha habari,kwa misingi ya habari
  2. O

    NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    NMB,hii siyo sawa kwa sisi wastasfu wenye mkopo..nilichukua mkopo wa Benki kwa mkataba wa kukatwa kila mwezi pensheni inapoingia.ajabu tarehe 18 mwezi huu nimeingiziwa fedha toka mahali ikskatwa ilhali nilikuwa safari nikiitegemea kwa nauli. Benki NMB,tawi Kaitaba Account 32608000725
  3. O

    Rais Magufuli na Lissu wakutanishwe

    Ahsante, andiko zuri.
  4. O

    Prof Kabudi ametuonyesha udhaifu wa waandishi wa habari wa Tanzania ambao wana uwezo mdogo wa kuhoji

    ndugu waandishi hao wanaishi ktk jamii hiyohiyo unayoishi wewe,wana damu na nyama kama wewe,mazingira ya Uhuru wa habari na kujieleza unayaona,hivi utalinganisha na ulipopataja? wewe binafsi umehoji nini kwa uwazi na weledi?mpira unawatupia wenzako!si kazi ya kundi fulani,bali kwa pamoja kila...
  5. O

    Nini maana ya BURIGI? Hii mbuga Mungu aliwapa Biharamulo mkoani Kagera, Magufuli kawapa Chato?

    wabunge wa kagera wako kimya,usikute ndio wa kwanza kushangilia!!
  6. O

    Tundu Lissu usisumbue watu Serikali ya CCM imetekeleza elimu bure kuanzia darasa la kwanza hadi kidato cha nne bure

    hakuna cha elimu bure ,ile 20,000 imebadilishwa kiaina kwenda vitambulisho vya wajasiriamali!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  7. O

    Mh. Majaliwa ondoka na vichwa hapo Bukoba

    si wanalindwa na chama lao ati! aibu Sent using Jamii Forums mobile app
  8. O

    Mauaji mkoani Simiyu yamng’oa Kamanda wa Polisi

    Ni uonevu tu, basi hata wewe JPM akuondoe kazini maana bado hujamsaidia,watoto na vikongwe wanazidi kuuawa Sent using Jamii Forums mobile app
  9. O

    Straight Talk Africa na Shaka Ssali: Tundu Lissu jino kwa jino na Balozi Wilson Masilingi

    mi nilimsikia balozi,the,the,the... Sent using Jamii Forums mobile app
  10. O

    Mbowe atajwa kuwa kiongozi bora wa upinzani Afrika

    Ahsante sana,na heshima kuu kwako mh Mbowe.chuma cha pua!
  11. O

    Tetesi: CCM yawaonya watakaomlaki B. Membe uwanja wa ndege akitokea ughaibuni

    wakimfurusha inaendelea kula kwao,maana ni kama wamejipanga mstari,akipigwa panga huyu,anatokea mwingine.wamejiapiza:Membe for ptesidency
  12. O

    Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!”

    hii misifa yote uliyompa ni zaidi sana,ila kiukweli anakubalika sema yumo kwenye tenga lenye shombo
Back
Top Bottom