Sauti ya KIGOGO katika Space ya Maria Sarungi ina lafudhi ya Iringa to Mbeya

Hata we we ukitaka kuwa kigogo unakuwa ili mradi uwe na facts ,hata Mimi na wewe tunaweza kuwa kama kigogo..! Just username+password
 
Kwa mtazamo wangu ninavyofahamu ni kuwa, Kigogo ni unanimous social media platform account, kuna utitiri wa watu (tena wengi hata hawafahamiani) wanaopewa access na moderator wa hiyo account kuandika na kuongea on behalf. Ni ngumu kumjua core owner ni nani na hata ukimjua haitakuwa na mantiki sana maana kuna unanimous wengi ndani ya akaunti moja.
Inawezekana......
 
Hata we we ukitaka kuwa kigogo unakuwa ili mradi uwe na facts ,hata Mimi na wewe tunaweza kuwa kama kigogo..! Just username+password
Umeongea kirahisi mno IT ni pana sana na ndimo alikojificha kigogo huko kuna makampuni ya ulinzi yapo ya hatari balaa na hata serikali ikitaka taarifa zako inatakiwa ile kampuni ilipwe pesa nyingi mno ndio maana wanaona wapotezee hata sauti kwa watundu wanaweka sauti ya mtu mwingine kabisa au wanatengeneza ukiongea sema bongo Vpn tuu inatusumbua huko kwingine ni mbali mnoo...
 
Kwa mtazamo wangu ninavyofahamu ni kuwa, Kigogo ni unanimous social media platform account, kuna utitiri wa watu (tena wengi hata hawafahamiani) wanaopewa access na moderator wa hiyo account kuandika na kuongea on behalf. Ni ngumu kumjua core owner ni nani na hata ukimjua haitakuwa na mantiki sana maana kuna unanimous wengi ndani ya akaunti moja.
Upo sahihi kabisaaa!!!!!!
Sauti Ile ya juzi na hii Leo ziko tofauti Sana,hii account inamilikiwa na watu wengi sana
 
Kwa mara ya kwanza? Una uhakika sauti hiyo hakucheza nayo ili isikike tofauti na sauti yake halisi!?

Hata ingekuwa mimi ningechezea notes, ikitokea hata hapa jf ikaanzishwa kitu kama hiyo space ni wachangiaji wengi watachezea sauti isipokuwa wale wanaojulikana na wengi physically!
 
Umeongea kirahisi mno IT ni pana sana na ndimo alikojificha kigogo huko kuna makampuni ya ulinzi yapo ya hatari balaa na hata serikali ikitaka taarifa zako inatakiwa ile kampuni ilipwe pesa nyingi mno ndio maana wanaona wapotezee hata sauti kwa watundu wanaweka sauti ya mtu mwingine kabisa au wanatengeneza ukiongea sema bongo Vpn tuu inatusumbua huko kwingine ni mbali mnoo...
Kwani kwa mfano kama Upo Tanga ukinipa username na password yako nikiwa Bujumbura sitaweza kulog in?
 
Pamoja na kujificha lakini nimeshangaa sana leo kigogo kusikika sauti yake.

Je polisi watafanikisha jambo lao la kumsaka kumkamata kupitia hiyo sauti?View attachment 1862816
Bila kupata sura au cm namba ni ngumu maana sauti naweza inachujwa unabadilisha unaiseti bado pagumu.
Sidhani kama huyu kigogo ni mjinga kiasi hicho aiweke moja kwa moja
 
Jamaa yuko vzr sana ana pointi na ajenga hoja
Tatizo ana HASIRA zaidi ya kile anasema
Unaweza kuhisi kuwa huyu alikuwa kwenye Intelijensia halafu AKATUPWA NJE hivyo yuko stressed.
Anajua in out ya ulaji ndani ya nchi lkn HAFAIDIKI
Alianza na rafidhi kama si ya ki Tz then akafuloo good kiswahili.

Na sauti ilikuwa Natural
Anafaa kampi yetu tusio na chama, hatuangalii ccm au cdm yeyote tunamgeuka kama tukijua anatumika na vibaraka au si muadilifu
 
watahangaika vipi wakati maria aliyewaunganisha na anayemhoji yupo hapahapa bongo, wamuulize tu maria atawaonyesha alikuwa anaongea na mtu gani huyo anayetema nyongo namna hiyo? very simple. au labda kama maria anaogopwa.
 
Back
Top Bottom