Recent content by Onesmo NB Nicholaus

  1. O

    JamiiForums Tanzania Kozi za Uhandisi zinazolipa Tanzania

    Sio anazaraulika Hiyo kozi watu wengi inawashinda, pia wanaichukia kwa sababu haina mambo ya kidijitali
  2. O

    JamiiForums Tanzania Kozi za Uhandisi zinazolipa Tanzania

    Mkuu naongezea mautam ya mechanical :: 1.power production 2.plant maintenance 3.mechatronics 4.Robotics etc etc sasa tena kwny mechanical tunasoma basic electrical engineering... MEC is too wide
  3. O

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mzee Emanuel Makaidi, Mwenyekiti mwenza wa UKAWA afariki dunia

    Naanza kuwa na wasiwasi juu ya hivi vifo vya wa nasisasa, what is the secret behind?
  4. O

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu kuhusu chuo kikuu cha M.U.S.T na kozi fupi za KICHINA

    wapendwa mliomo humu hasa wale ambao mnafahamu taarifa kuhusu MBEYA UNIVERSITY OF SCIENCE AND TECHNOLOGY naomba mnielezee vizuri kuhusu hiyo ishu ya chuo kufundisha kozi fupi kwa lugha ya kichina. nimesoma taarifa zao na nimeona kuwa ada yao sio kubwa sana lakini nina wasiwasi kama hii kozi...
  5. O

    JamiiForums Tanzania Hii Airtel OMG internet imepatwa na nini?

    Afadhali hawa watukomboe ila na wenyewe wacje kutugeuka maana hata airtel walianza vizuri
  6. O

    JamiiForums Tanzania Hii Airtel OMG internet imepatwa na nini?

    hizo vocha zinaitwaje?
  7. O

    JamiiForums Tanzania Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

    okey asante Nimeshapata cha FOOLS DIE ngoja nianze kukisoma
  8. O

    JamiiForums Tanzania Hii Airtel OMG internet imepatwa na nini?

    nackia eti zantel intaneti yao iko slow
  9. O

    JamiiForums Tanzania Hii Airtel OMG internet imepatwa na nini?

    yani najiuliza ndo nianze kununua modem upya ya airtel napiga nyundo sasa na tigo wazingue sasa
  10. O

    JamiiForums Tanzania Hii Airtel OMG internet imepatwa na nini?

    yani apa nimeshachukia kabisa Nilikuwa naiamini airtel kuwa ina bei nafuu kumbena wenyewe ndo waswahili HAWA JAMAA SIJUI WAMEKULA MAHARAGE YA WAPI!!!
  11. O

    JamiiForums Tanzania Hii Airtel OMG internet imepatwa na nini?

    Wapendwa naomba mnisaidie mimi natumia airtel kwenye internet,nilijua bando za internet unlimited ni 2500 kwa wiki sasa maajabu yake eti kwa siku tu GB 1 ni shilingi 1000.sasa nikisema ninunue kwa wiki moja ni hela nyingi ntapoteza. matokeo yake naishia kununua MB 300 kwa sh 500. sasa na hii...
  12. O

    JamiiForums Tanzania Gharama za vifurushi vipya vya Airtel internet OMG

    naomba unisaidie,mimi ninapata MB 300 kwa sh 500 siku moja hiyo 2500 kwa wiki sijaiona
  13. O

    JamiiForums Tanzania IPI TAREHE SAHIHI YA KUFUNGUA M.U.S.T (Ordinary Diploma)?

    Mkuu nimeuliza sio kwamba cjapitia website. website napitia karibu kila cku ila nachokwambia ni kwamba,kuna tarehe mbili tofauti. kwenye school calendar wanasema ni wa 10 ilakwenye joining wanasema ni wa 11 Nataka kujua tarehe kamili
  14. O

    JamiiForums Tanzania IPI TAREHE SAHIHI YA KUFUNGUA M.U.S.T (Ordinary Diploma)?

    lakini sasa mbona kwnye joiningwametwambia twendewa 11
Back
Top Bottom