Davion Delmonte Jr.
JF-Expert Member
- Oct 27, 2013
- 2,149
- 1,720
zinapatokana wapi hizo mkuu embu nipe maujanja?Mbona hipo ya 1500 unapewa GB 1.2 Dk 60 na Sms za kutosha kwa wiki nzima hau hamjui? Hii inauzwa vocha spesho. Nendeni Madukani zipo.
Alafu ipo ya Mwezi Mzima kwa elf6 unapewa GB 8 Madakia ya kutosha na mameseji ya kumwaga. Tembeeni madukani Mnunue izi vocha jamani, Airtel ni bomba sana.