prototypeman
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 288
- 108
Hakuna degree inayilipa kama enterprenuership and small business.......proud to be part of it
Hizi ni course za engineering zinazolipa/ziko moto kwa TANZANIA...hizi course ni 1.AGRICULTURE ENGINEERING 2.IRRIGATION AND WATER RESOURCE ENGINEERING 3.BIO-PROCESSSING ENGINEEERING zote hizi zinapatikana SUA
Mechanical hatii mguu kwa electrical hata kidogo.
Mechanical anakimbia kazi za electeical but Electrical anaweza kufanya kazi za mechanical labda atazidiwa kwenye designing tu. Hata kama electrical hawezi lakini anachukua muda mdogo sana kuelewa kazi za mechanical hasa viwandani.
Electrical is all about. Proud to be part of them.
Mbona hamuitaj tele
Au tanzania ipi mnausema
Mkuu usidanganye watu....electrical engineer ....hawez kufanya kaz za mechanical engineer ....ila vise versa....mkuu huijui mecha ila mecha tunaijua ele....kama installation ya umeme Wa majumban na viwandan Mecha tunasoma...umeme Wa magar tunajifunza pia ...sina uhakika kama ele mnaingia deep ktk mechatronics.
All in all kuhusu designing Mecha ndio mwisho Wa habari
Sidhan kama ele MNA design machine elements.
So tunarud palepale mechanical engineering ndio baba na mama Wa almost 90% of engineering courses.
Electrical engineering siku hiz haina soko kama awali ...kutokana na wimbi la vishoka na graduate wengi hampo competent.
Mkuu naongezea mautam ya mechanical :: 1.power production 2.plant maintenance 3.mechatronics 4.Robotics etc etc sasa tena kwny mechanical tunasoma basic electrical engineering... MEC is too wide
Mkuu naongezea mautam ya mechanical :: 1.power production 2.plant maintenance 3.mechatronics 4.Robotics etc etc sasa tena kwny mechanical tunasoma basic electrical engineering... MEC is too wide
Kwa upande wangu electronics iko poa sana.
kwan mkuu unadhan ni zipi zinalipa?? embu toa na wewe mawazo yako!!
Electronics ni mtoto wa electrical...na ndio maana baadhi ya vyuo zimewekwa sehemu moja.
Electrical na Mechanical ni mtu na mtuwe kamwe hawawezi kutengana.Ni sehemu chache ambapo wanatengana na hapo ni kutokana na specialization.Zote ni course nzuri na zina uwanja mpana duniani kote.
Mkuu usidanganye watu....electrical engineer ....hawez kufanya kaz za mechanical engineer ....ila vise versa....mkuu huijui mecha ila mecha tunaijua ele....kama installation ya umeme Wa majumban na viwandan Mecha tunasoma...umeme Wa magar tunajifunza pia ...sina uhakika kama ele mnaingia deep ktk mechatronics.
All in all kuhusu designing Mecha ndio mwisho Wa habari
Sidhan kama ele MNA design machine elements.
So tunarud palepale mechanical engineering ndio baba na mama Wa almost 90% of engineering courses.
Electrical engineering siku hiz haina soko kama awali ...kutokana na wimbi la vishoka na graduate wengi hampo competent.
Hapo zamani ndo kulikua na kozi iyo electrical and electronics engineering but siku hz vyuo vingi wamebadili wameeka electronics and communication, unaposema electrical ni mtoto wa electronics unamanisha nn? Mana electrical wanasoma high voltage na electronics wanadeal na low voltage na mtu wa umeme hawezi fanya kazi za electronics Ata wa electronics pia hawezi fanya kazi za umeme

Kwa hiyo unataka kusema mtu wa electrical hawafundishwi transistor,diode,capacitors n.k zilivyoundwa na zinavofanya kazi.Kuhusu hiyo "communication eng" imetokea kwenye telecommunications pamoja na information technology.
Nakuomba uache hayo maneno ya "high voltage" sijui "low voltage" ni vijimaneno ambavyo wanakua navyo wanafunzi wa vyuoni kujionesha wao ni bora kuliko wengine.
Ni wapi umeona mtu wa electrical kashindwa kufanya kazi za electronics?Hahahah
Mbeya University Of Science And Tech ni Bsc Of Eng in Electrical And Electronics
We unaongea ushabiki , Aya wewe ni mtu wa electrical naomba design circuit ya kuendesha unipolar stepping motor kwa kutumia micro controller kwa kutumia programming language? Electrical ni Pana na electronics nayo Pana ukisema mtu wa electrical anafanya kazi za electronics unaongopa Ata wa electronics hawezi fanya kazi za electrical.......
Nimesema vyuo vingi tz now wanaeka electronics and telecommunication engineering sio vyote, na kueka electrical and electronics engineering mwanafunzi huyu hatokua competent kuliko anaesoma electrical peke yake mana electrical Ina mambo mengi ndo mana inaweza kusimama yenyewe, electronics siku hz wameeka pamoja na mambo ya communication kwa sababu dunia ya sasa yanaendana sana, sababu vifaa vingi vya mawasiliano Kuna electronics theory ndani yake.