Nimeona watu wameweka picha lakini si za kutosha na ilikuwa ni kabla ya Mbowe hajafika na zingine watu walikuwa hawajafika wote,cheki hizi hapa na matukio yote kwa ujumla katika picha,ilikuwa nzuri sana watu nyomi,ulinzi wa kutosha na wasomi kibao,hakuna cha watoa matamko wala nini