Mbinu za CCM vyuo vikuu na jinsi CHADEMA walivyowapiga counter attack

Mbinu za CCM vyuo vikuu na jinsi CHADEMA walivyowapiga counter attack

KIGONSERA

Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
6
Reaction score
6
Ili kuendeleza hila zao za kuendelea kuitumia TAHLISO kama sehemu yao yaq kujificha na kuendeleza kukandamiza wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu nchini, serikalio ya CCM ilifanya kila juhudi kuhakikisha inashinda uchaguzi huo..

Kwanza viongozi tulioenda kwenye uchaguzi Mwanza tulifukuzwa chuo cha Bugando ambako ndipo tulikuwa tufanyie uchaguzi. Mkuu wa chuo aliruhusu kwa maandishi kufanyia kikao chao hapo lakini siku ya uchaguzi akatutimua eti agizo limetoka serikalini kuwa kuna fujon itatokea. tukaambiwa waende mwanza hotel.

Kufika Mwanza hotel tukakuta ukumbi upo tayari na umeshalipiwa kila kitu, tulipouliza nani kalipia tukaambiwa ni ofisi ya mkuu wa mkoa.Lakini japo ukumbi ulikuwa tayari tena umepambwa vizuri ukitusubiri bado hatukuruhusiwa kuingia tukaachwa nje lengo likiwa ni kuleta askari waje kutukamata kwa kufanya kusanyiko lisilo halali.

Tukashtukia hiyo mbinu tukaenda kutafuta hoteli nyingine iitwayo Annex. Mara mkuu wa mkoa wa Dar Bw.Mecky Sadick akaja pale m,wanza hotel akapitiliza hadi ndani bila kusema nasi.Baadae Chakushemeire mwenyekiti mstaafu, na Malima mwenyekiti wa senate wakaitwa ambapo inadaiwa walipewa mil.10 kuhakikisha CCM wanashinda. Kabla Polisi hawajaja kutufanyia fujo tukaondoka pale mwanza hotel kwenda Annex.kufika Annex tukakodi ukumbi na kuendelea na kikao. Wakaja watu tusiowafahamu wanajiita wanafunzi wa IFM wakakaa.

Muda wa uchaguzi ulipofika wakaanza fujo, mara hakuna demokrasia, mara wakaanza kupiga mateke masanduku ya kura. tukawakamata na kuwapeleka polisi lakini waliachiwa baada ya nusu saa na kurudi tena ukumbini lakini tuliwadhibiti.CCM walikuwa wakiongozwa na Ndubiagai na Makonda walikua wamepanga safu zao za mashambulizi wakianza na mwenyekiti awe Nakarungu wa Mzumbe, ambaye ni kundi la masalia, Katibu awe Mcheshi wa SAUTambaye alikuwa CHADEMA lakini amehamia CCM majuzi.

Lakini tukakomaa kuhakikisha haki inapatikana na hadi mwisho mshindi akawa nia Mdede wa CUHAS. Ikumbukwe huyu Mdede ni CHADEMA percel na hata kampeni zake alipigiwa na makamanda wa chadema kutoka matawi mbalimbali mwanza na katibu mwenezi wa chadema kata ya butimba ndio mwenyekiti wa fund rising. pia huyu Mdede ndiye aliyetoa tamko la kupinga mbinu za TAHLISO kumtengenezea njia January Makamba. Mdede na mwenzake aitwaye Luhigo wa SFUCHAS walitoa tamko kupitia SUSAUT kulaani tamko la TAHLISO kumuunga mkono Makamba.Hivyo enzi za TAHLISO kutumika zimefika mwisho na sasa ni kazi tu.

Poleni CCM kwa kuchezewa faulo.

People'ssssss
 
ccm wamebaki na nguvu ya hela tu!
ni kweli hata mimi nilimwona mkuu wa mkoa wa dar tena alikuwa anarandaranda na vx lenye namba za binafisi
 
Wasomo msikubali kutumika, nchi hii sasa inahitaji ukombozi wa pili, Hivyo walivyowafanyia ndivyo wanafanya katika maeneo yote hasa yenye upinzani...Hongereni sana kwa kukabili na kudhibiti mbinu chafu za miccm, Tupo pamoja ktk mabadiliko ya kweli. Ningeshangaa sana kama CCM ingeshinda kwani kwenye vyuo vikuu vyote zaidi ya 80% ni wapinzani hasa chadema. wafanye utafiti waone kwamaba hawapendwi.

Nakumbuka 2010 ktk uchaguzi walivifunga vyou vyote wakiwa wanahofia kukosa kura za wanafunzi, kilichotokea ni kwamba wale wanafunzi walienda makwao na kuendelea elimu ya uraia huko vijini na matokeo ccm wanayajua.

Viva TAHILISO, Viva Mageuzi
 
Wela wela wasomi hakikisheni munatumia nguvu zenu za ushawishi kukataa kununuliwa na kuhakikisha haki inatamalaki, hongereni sana kwa kuhakikisha democrasia inafuata mkondo wake huyu Nyakarungu mbona hana za mukichwa kabaki kama karatasi ya chooni iliyotumika anadhani kweli angeweza kupenye mbele ya madume wa chadema
 
mdede musa leonard ni chadema percel.na i thnk tahliso itabadilika.lakini suala la mkuu wa mkoa wa dar kuonekana mwanza hotel.halina mahusiano na uchaguzi huo.ndg meck sadik alfkia mwanza hotel kumuuguza ndgu yake alielazwa bugando hospital.
 
najivunia kuwa CDM,najivunia kusoma chuo cha wanaharakati SAUT,Pia najivunia kuwa informer wa Mdede na makamanda wengine siku ya uchaguzi huo wa TAHILISO ,ambapo kupitia taarifa sahihi zilikuwa zinapelekwa kwa makamanda wagombea wa TAHILISO ,tuliwazibiti magamba na kumthibitishia Makonda is nothing katka politics,big up zaid na kwa waziri mkuu wa SAUT mwanza kamanda Damasi KImenyi kwa k
uongoza mapambano,KUDOS kwa CDM na MAWAZO

  • A%20S%2039.gif


 
mdede musa leonard ni chadema percel.na i thnk tahliso itabadilika.lakini suala la mkuu wa mkoa wa dar kuonekana mwanza hotel.halina mahusiano na uchaguzi huo.ndg meck sadik alfkia mwanza hotel kumuuguza ndgu yake alielazwa bugando hospital.

akijiunga na wasaliti tutamjua tu, atatoswa.
 
Hongera mdogo wangu Moses Mdede kumbe umeshinda nguvu nyingi. Nakutakia kazi njema ila uuombe Mungu akupe hekima na busara kusudi hawa watoa kucha bila ganzi wasikupate be blessed as Moses original
 
Sawa shombe but ilikuaje akatoa mil 10 au hiyo sentence hukuiyona hapo kweny uz hucka
 
Ili kuendeleza hila zao za kuendelea kuitumia TAHLISO kama sehemu yao yaq kujificha na kuendeleza kukandamiza wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu nchini, serikalio ya CCM ilifanya kila juhudi kuhakikisha inashinda uchaguzi huo.. Kwanza viongozi tulioenda kwenye uchaguzi Mwanza tulifukuzwa chuo cha Bugando ambako ndipo tulikuwa tufanyie uchaguzi. Mkuu wa chuo aliruhusu kwa maandishi kufanyia kikao chao hapo lakini siku ya uchaguzi akatutimua eti agizo limetoka serikalini kuwa kuna fujon itatokea. tukaambiwa waende mwanza hotel.kufika mwanza hotel tukakuta ukumbi upo tayari na umeshalipiwa kila kitu, tulipouliza nani kalipia tukaambiwa ni ofisi ya mkuu wa mkoa.Lakini japo ukumbi ulikuwa tayari tena umepambwa vizuri ukitusubiri bado hatukuruhusiwa kuingia tukaachwa nje lengo likiwa ni kuleta askari waje kutukamata kwa kufanya kusanyiko lisilo halali.Tukashtukia hiyo mbinu tukaenda kutafuta hoteli nyingine iitwayo Annex. Mara mkuu wa mkoa wa Dar Bw.Mecky Sadick akaja pale m,wanza hotel akapitiliza hadi ndani bila kusema nasi.Baadae Chakushemeire mwenyekiti mstaafu, na Malima mwenyekiti wa senate wakaitwa ambapo inadaiwa walipewa mil.10 kuhakikisha CCM wanashinda.Kabla Polisi hawajaja kutufanyia fujo tukaondoka pale mwanza hotel kwenda Annex.kufika Annex tukakodi ukumbi na kuendelea na kikao.Wakaja watu tusiowafahamu wanajiita wanafunzi wa IFM wakakaa. Muda wa uchaguzi ulipofika wakaanza fujo, mara hakuna demokrasia, mara wakaanza kupiga mateke masanduku ya kura. tukawakamata na kuwapeleka polisi lakini waliachiwa baada ya nusu saa na kurudi tena ukumbini lakini tuliwadhibiti.CCM walikuwa wakiongozwa na Ndubiagai na Makonda walikua wamepanga safu zao za mashambulizi wakianza na mwenyekiti awe Nakarungu wa Mzumbe, ambaye ni kundi la masalia, Katibu awe Mcheshi wa SAUTambaye alikuwa CHADEMA lakini amehamia CCM majuzi.Lakini tukakomaa kuhakikisha haki inapatikana na hadi mwisho mshindi akawa nia Mdede wa CUHAS. Ikumbukwe huyu Mdede ni CHADEMA percel na hata kampeni zake alipigiwa na makamanda wa chadema kutoka matawi mbalimbali mwanza na katibu mwenezi wa chadema kata ya butimba ndio mwenyekiti wa fund rising. pia huyu Mdede ndiye aliyetoa tamko la kupinga mbinu za TAHLISO kumtengenezea njia January Makamba. Mdede na mwenzake aitwaye Luhigo wa SFUCHAS walitoa tamko kupitia SUSAUT kulaani tamko la TAHLISO kumuunga mkono Makamba.Hivyo enzi za TAHLISO kutumika zimefika mwisho na sasa ni kazi tu.Poleni CCM kwa kuchezewa faulo.People'ssssss
kila siku nawaambia ccm hila zao dhidi ya Chadema zitakuwa zinawarudi wenyewe na kuwapaisha chadema lakini kwa kuwa ccm ni sikio la kufa hawasikii wala hawaelewi
 
Asanteni kwa kuturudishia tahliso yetu ya ukweli tuliyoiongoza tukiwa na akina mtatiro
 
Hongereni sana vijana
Tunahitaji ukombozi huyu mkoloni mweusi ametunyonya hadi tone la mwisho
Tunahitaji kufaid rasilimali zetu sasa
We don't need mafidas anymore
We need freedom
 
mil 10 ya rushwa tu ! hii nchi kweli ni kichwa cha mwendawazimu .
 
Sasa hapo ndio umemuharibia huyo Mdede...mana hicho chama ulichosema.kimeshindwa kitamsakama sana....Ndio maana pembeni ya Maiti ya Mabina kule Mochwari Sokou Toure nilishangaa kukaona kanafiki...huyu Makonda pembeni ya Maiti...nikashangaa manguo yake ya chama,kumbe alikuwa Mwanza kwa mission hiyo
 
Komesha kabisa maccm, majangiri, mauaji.......... kila dhambi ni yao.....................2015 ndio jibu lao la mwisho.
 
Back
Top Bottom