Huyu hapa mzee kamanda aliejitolewa kuipa chadema kiwanja chake bure (picha)

Ndio maana miafrika hatuendelei kama mtu na akili zake anaweza fanya huu ujinga
 
Mkuu nikumbushe jina la Yule mkurugenzi mwenzio pale ufipa Yule aliiba mchango wa msiba wa mwanafunzi pale mlimani Yeye akiwa Kiongozi wa serikali ya wanafunzi ,hivi anaitwa Nani vile mkuu?
Halafu ni wa Dodoma Yule jamaa nasikia laana Ile inamuandama mpaka leo ndio maana toka aanze kugombea hakuna nafasi aliwahi shinda ukiacha mbali hiyo yakuteuliwa aliyonayo.
Duh kweli Kula hela ya msiba ni laana mkuu.

Ni balaa kama kufanya usaliti; ni noma kuliko umalaya
 
na bado kuelekea 2015 MAGAMBA CCM mjiandae kisaikolojia la sivyo mtakonda,kwa huu moto wa CDM
 
Wakuu sikuzote huwa nadondosha vitu vyenye ushahidi wa nguvu humu JF,nimeona uzihumu JF unaohusiana na mzee mmoja aliekabidhi kiwanja chake chenye ukubwa wa zaidi ya hekali moja ,ambacho kipo maeneo ya Mkuyuni njia panda ya kwenda chuo cha ualimu (Butimba TTC)kilomita kadhaa kutokea katikati ya mji wa Mwanza,uzi ule wakamanda ulikosa picha sasa me nilifanikiwa kumulika live mzee huyo pindi anaongea na mwenyekiti akiomba atangaze hadharani,na mala baada ya kutangaza kwamba atagawa uwanja wake huo ndipo alijitokeza kijana mmoja na kuongea na yule mzee then mzee akaanza kupiga kelele kwamba jamaa amemtishia kumwuandipo Redbliged wakamshusha chini huyo kijana aliekuwa amevaa tshet nyeupe ya M4C,habari zaidi zilidai jamaa huyo amekuwa akimfata kwa mda mrefu mzee huyo akibembeleza auziwe kiwanja hicho bt mzee amekuwa akimgomea,na mwishoni mwa mkutano kijana huyo aliedaiwa kumtishia maisha mzee huyo alichangia tawi la CDM SAUT kiasi cha sh 100000 taslimu huku akitamba kwamba yeye ni CDM damu kamwe hawezi kuwa gamba.
View attachment 127192View attachment 127193



  • :biggrin1:

Bado picha ya kiwanja ushahidi ukamilike
 
Nilikuwepo nikweli mzee alitoa kiwanja na akawaagiza viongozi wa Chadema waende wakaone hicho kiwanja!
 
Wameshapewa vingapi na wameendeleza vingapi?? Ukiangalia asset register ya CDM hamna building yoyote wala land. Siyo agenda ya CDM kufanya long term investment yoyoye cuz wanajifahamu kuwa wao ni wapitaji tu na wanajichumia matumbo yao.Mzee Sabodo alijitahid kuwapa na eneo but mpaka leo hamna kilichofanyika. Huyo mzee bora angetoa sadaka msikini au kanisani.

ubongo wako unaishi kwenye nose tip yako kama kamasi la kondoo.Mbona michango ya Sabodo CDM inawauma sana?
 
DSCN0945.JPG DSCN0945.JPG DSCN0945.JPG DSCN0945.JPG Hapambunge wa Bihalamuro ,Antoni Mbasa,akilichangia tawi la CDM SAUT
 
Babu kaona mbali
Ncchi hii imepata uhuru akiwa kijana ila amengalia for 52 years nothing new
Kipya zaidi ni hela zilizofichwa Swiss zimezidi kuongezeka na kijana akiapa hana majina (Zito)
Babu huyu ameona hawezi kuvumilia huu usaliti amejitosa kuona nchi inakombolewa haraka sana
Hongera babu hawa mafisadi hadi kieleweke
 
Nonsense, it was all nonsense: this whole damned outfit, with its committees, its conferences, its eternal talk, talk, talk, was a great con trick; it was a mechanism to earn a few hundred men and women incredible sums of money. Pole mzee mie nakupa, ni wanao tu watakaokulaani
 
Jamaa wa CCM wanadhani watu wenye moyo nchi hii wamekwisha, ni mazoea tu ndani ya CCM sio nchi nziam
 
Back
Top Bottom