Recent content by One n Only

  1. O

    Fomu za Usajili wa Vicoba

    Msaada tutani nawezaje kupata fomu za usajili wa vicoba bila kuwepo Dodoma. Nimejaribu online sijaziona. Msaada Tafadhali. Natanguliza Shukrani za dhati ya moyo wangu.
  2. O

    Ulipo ubalozi wa Greece

    Asante mno mno
  3. O

    Ulipo ubalozi wa Greece

    Msaada naomba kujulishwa ulipo ubalozi wa Greece na visa requirement zake for tourist visa na business visa. Nitakuuliza Shukrani zangu za dhati
  4. O

    Thank You GOD...........Today Is My Day.

    Happy birthday Nduki,I thank God for your life,your happiness and joys,your succes but mostly for giving you another year for us to be with you again. I wish you bundle of joys and God's blessings.. My wish may come as late as it seems but it is the wish that comes from the bottom of my heart...
  5. O

    Ufugaji wa kisasa wa Nyuki: Faida, Utaalam na Masoko

    Habari wakuu,mie ni mmoja wa wafuga nyuki,naombeni contact za Mrimba Rubi yule anafuga nyuki Dodoma na za msimamizi wa shamba la M P....na kama kuna shamba ambalo mtu anaweza tembea akajifunza..Asanteni.
  6. O

    Contact za Mrimba Rubi

    Habari zenu Wakuu wa jamvi hili,Naomba mwenye contact namba za Mrimba Rubi anisaidie.Shukrani za dhati.
  7. O

    Cafeteria business Plan

    😞😒😒😞😞😒
  8. O

    Cafeteria business Plan

    Wakuu salaam, Aliye mwandishi mzuri wa cafeteria /canteen business plan tuwasiliane ASAP aniPM. Asanteni.
  9. O

    Chuma Ulete: Ni kweli ipo? Ipi dawa ya kuidhibiti?

    Bahati nzuri 50 cent ni kwa roho na kweli.
  10. O

    Chuma Ulete: Ni kweli ipo? Ipi dawa ya kuidhibiti?

    Dawa ni kuziombea pesa zako na kuzitakasa..Hakuna nguvu iishindayo ile ya Bwana Mungu wetu. Na si kwa hizo peke yake ombea hata pesa uwapazo omba omba mengine ni mapepo tu
  11. O

    Usipambane na wakubwa, watakuumiza!!!

    Ni afadhali kujaribu kuliko kutojaribu kabisa...siku nyingine hata ndovu mkubwa atamuogopa kidogo mdogo.
  12. O

    Mazungumzo yasiyosikika

    Mie nishawahi mjibu boss wangu jibu laiti angelisikia dah kazi ingekuwa mwisho..
  13. O

    Mazungumzo yasiyosikika

    Very truthful. Si tu yangeleta mwangwi bali mengine yangezua ugomvi kati ya mtu na mtu.Waliosema"some things are rather left untold" vikiongewa vyote mwanadamu anavyovizungumza ndani..Balaa
  14. O

    Ipe maneno...

    It doesn't matter what business you are in,you have to look at your best.
  15. O

    Morogoro: Gari lafeli breki na kuingia ndani ya benki

    Ni mfanyakazi wa bank hiyo na alikuwa anapark gari bahati mbaya badala ya kukanyaga brake akakanyaga accelerator
Back
Top Bottom