Recent content by One chromosome

  1. O

    Rais Kikwete aenda Uswisi

    da huyu mzee kazid wallah.kasafiri sana duniani ila naamini alichokifanya atalipwa hapa hapa dunian,
  2. O

    UKAWA kufikia maamuzi ya Urais na mgawanyo wa Majimbo leo.

    sawa mkuu tunasubiria matokeo
  3. O

    Kwanini wapinzani hawatoi shukrani kwa Rais Kikwete?

    mleta mada we ni mnafiki na mzandiki na mchawi unaeishi,umetoa takwimu za miaka na asilimia ya kura za upinzani ulipofika 2010 umeacha hujasema,so kikwete alipigia kampeni upinzani
  4. O

    Kingunge akerwa, akemea yanayoendelea ndani ya CCM

    mkuu mchumia tumbo,kwani jamaa alikuwa yatima hadi genge limfanyie yote hayo au uzuzu tu ndo unakufuru wazazi wako kisa tumbo?
  5. O

    Kingunge akerwa, akemea yanayoendelea ndani ya CCM

    bunge ushahidi wa ricmond haukupelekwa?kama ulikua uongo mbn hakusema nani kacheza lile dili na kumsevu akajiuzulu u pm?
  6. O

    Kingunge akerwa, akemea yanayoendelea ndani ya CCM

    mkuu sera yenu ni wezi wape,chocheaaaaa chochea...
  7. O

    Kingunge akerwa, akemea yanayoendelea ndani ya CCM

    chocheeni kuni moto uwakee manachotaka kitokeee,chochea chochea,chochea chochea....tukutane oktoba wallah.
  8. O

    Kingunge akerwa, akemea yanayoendelea ndani ya CCM

    povu zaidi na zaidi,na wewe unapewa nini kujitoa ufahamu?
  9. O

    Kingunge akerwa, akemea yanayoendelea ndani ya CCM

    mkuu mbona povu linazidi?
  10. O

    Kingunge akerwa, akemea yanayoendelea ndani ya CCM

    mkuu tugawane maana hili povu si bure
  11. O

    Kingunge akerwa, akemea yanayoendelea ndani ya CCM

    mkuu kwani bado kuna mtu mwenye akili timamu bado ana mapenzi na ccm?si bora hata wewe una mapenzi na tumbo lako
  12. O

    Kingunge akerwa, akemea yanayoendelea ndani ya CCM

    mkuu ni maiti ya ebola,hata manispaa wataiogopa
  13. O

    GE2015 Wakati wakiwa hawana uhakika Dodoma, UKAWA wajipanga Dar es Salaam

    haya sasa mwaka huu uchaguzi tutaelewana tu
  14. O

    Wabunge wa CCM wagoma jioni hii kwa kisingizio cha kuwatetea walimu, Ndugai aahirisha Bunge

    mjinga ni wewe,mada hapa ni wabunge wa ccm wamegoma kisa kiinua mgongo kimepungua,sasa tundu lisu au ukawa wamewahi kugomea malipo yao kama hawa magamba wenzio?
Back
Top Bottom