Elections 2015 Wakati wakiwa hawana uhakika Dodoma, UKAWA wajipanga Dar es Salaam

CHADEMA

Verified Member
Apr 13, 2013
462
1,000


Viongozi wa vyama vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), wakisikiliza hoja za wabunge wa vyama hivyo walioalikwa katika kikao cha Viongozi Wakuu (Summit) kinachokutana leo kupanga mikakati ya umoja huo kuelekea kushinda uchaguzi mkuu wa mwaka huu na kuongoza serikali.

Kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa NLD, Tozi Matwange, Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Willibroad Slaa, Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia, Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa NLD, Dkt. Emmanuel Makaidi na Katibu Mkuu wa NCCR-Mageuzi, Mosena Nyambabe.
 

Attachments

Marire

JF-Expert Member
May 1, 2012
12,043
2,000
Sitaki kusikia sijui nani kapita bila.kupingwa wa ccm
Vijana wapo wa kutosha wapewa hii nchi na.kila jimbo na kata ukawa wekeni wagombea smart!!!
 

Ngonini

JF-Expert Member
Sep 1, 2010
2,024
1,195
Macho ya wengi ni Dodoma, Rais anapatikana jumapili.
Huyo ni mwenyekiti wenu wa magamba!!! Mwaka huu mnaishia kumchagua mwenyekiti wa magamaba na siyo Rais wa Tanzania. Ngoma nzito mwaka huu siyo rahisi kama mlivyozoea!!
 

skfull

JF-Expert Member
Dec 24, 2013
2,576
2,000
Ccm imekufa mipango ya mazishi itafanyika huko Dodoma ndugu ukawa tunaombwa kushiriki mipango hiyo ya kumuhifadhi babu yetu ccm bwana alitoa na sasa anatwaa jina la bwana lihimidiwe "AMEN!!"
 

Irene II

New Member
Jun 19, 2015
4
0
Ruttashobolwa..naona unabwabwaja tu wa jpili ni mpeperusha bendera ya ccm..wala cyo rais wa TZ!rejea hotuba aliysema m/kiti ccm wkt wa kuwafungulia wale makada 6.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom