Recent content by ondiwo

  1. O

    Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    Dr Slaa Mwanaume chiboko,No wonder, jamaa kaamua kumwachia mkewe anajua ku-care yule!
  2. O

    Nyerere Alifanya Makosa Makubwa...

    Kufanya makosa & Ubaya wa Nyerere does not justify uzuri wa huyu dada,continuing commenting on this imbecile issue is giving her undeserving promo. Comparable to insanity.
  3. O

    Speech za Idd Amin Dada: Andaa spea za mbavu zako!

    sure? angalia hiyo picha
  4. O

    Kama rais angekuwa mbinafsi hakika Bagamoyo lami zingekuwa mpaka vichochoroni

    Madaraja yalijengwa barabara ya Dar-Bagamoyo ni ya kiwango cha juu, chuo kikuu cha Bagamoyo tayari!, usafiri wa haraka kupitia majini Bagamoyo- Dar tayari!, kiwanja cha ndege Bagamoyo kipo kwenye mchakato nk,nk. Lakini kipande kidogo tu kunganisha mikoa ya kusini bado vumbi Bagamoyo itakuwa...
  5. O

    Lukuvi: Heko Kamuhanda kwa Kazi Nzuri!

    Ee Mungu uipoke roho ya mtumishi wako Daudi Mwangosi umpumzishe kwa amani. Mungu wetu, Mungu mwenye uweza na mamlaka, uonaye yote haya tunakusihi usikawie uweza wako ukapate kuonekana.
  6. O

    SITTA: Tatizo la kuchinja lilianza baada ya upande mmoja kudai kuwa kuchinja ni ibada

    kwa kutegemea kuwa katiba ya nchi inaheshimu uhuru wa kuabudu, lakini wapi ikawa ni kama mchimba shimo kaingia mwenyewe
  7. O

    LUkuvi: bilioni Moja kununua Hekta 129 kwajili ya Maziko ya Viongozi huko Dodoma

    Nalitafakari hili kimahesabu zaidi:129hectares =318Acres 1Acre= (70M X 70M) = (4900)M2 hivyo basi 318 Acres =(1558200)M2Hii ni sawa na futi za eneo (16772874)Ft2Kwa kuwa mtu aliyefariki anahitaji (3ft x 6Ft) =18Ft2 Hivyo basi gawanya ukubwa wa eneo lote yaani (16772874)Ft2 kwa (18)Ft2...
  8. O

    Barua: Kutoka kwa Mwalimu wa Shule ya Msingi kwenda kwa Rais wa JMT

    Kumdhalilisha huyu mwalimu kutokana na uhaba wa kipato uliopo katika fani yake siyo sawa Swala la msingi ni nini serikali yake hii sikivu chini ya CCM inafanya kuwapunguzia ukali wa maisha watu wa class yake na hata chini yake? Kitu ambacho JK alikiahidi "Maisha bora kwa kila mtz"
  9. O

    CV ya William Lukuvi

    Refer CV yake hivi kuna chuo huko Lindi kinatoa political certificates?
  10. O

    Telegraph From Iddi Amin Dada kwa Nyerere Kisa cha Vita ya Kagera?

    sijapata ona mtu akimdharau/kejeli mwalimu na bado akashinda nasema sijaona: This guy must be saint!
  11. O

    Prof. Safari akabidhiwa tena Kesi ya Ubunge Igunga

    Haki ya nani Hii picha ni kali sijapata ona.
  12. O

    Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

    thanks
Back
Top Bottom