hakuna jambo hatari sana katika kuondoa hamani kama ulevi wa madaraka na uroho wa madaraka katika hali ya sasa hivi uvumilivu wa kisiasa imekwisha imebaki ni dalili ya amani kuondoka katika taifa hili wamezoea kuwapiga wastaaf mwanzo walimpiga rais mwinyi kofi leo wamempiga warioba hivi vitendo...
tuna ulakini na ujaji wa werema alipewa bila kuzingatia vigezo vya nafasi ya ujaji pia ana hekima na ujifanya msomi bila ya perfomacy sahihi katika utekelezaji
wapo wengi kama john utamwa jaji anayekaa na ruling ya kesi tangia 2010 hadi leo 2014 bila kutoa maamuzi tena katika hatua ya awali ya po maamuzi madogo huku hakiwa na mpaka kesi za mwaka 1996 bado hazijatolewa maamuzi
uhuru akushinda uchaguzi alipata kura 5.0m na raila 6.7 m kazi ya kubadilisha ikafanyika kwa amri ya kibaki na ushirikiano wa viongozi wa mataifa matatu majirani na chuki ilikuwa ni raila kuwasaidia wapinzani katika nchi zao
watawala waovu ujilinda kwa ubabe kwani alichosema haikuwai kukanwa na muhusika alitajwa kuhusika kwani katika mazingira haya tumeanza kuona tabia za udikteta kutoka katika serekali zinazo ongozwa na rais uhuru ikiwa na kuipiga marufuku baadhi ya redio za makabila zingine kama redio ramogi ya...