Wadau waJF kwa uzoefu wetu kwenye mambo ya muungano,mie ningeshauri watz chini ya CCM tupendekeze nchi za Afrika Masharki zisiunde shirikisho bali ziwe na uhusiano wa MUUNGANO wa Serikali tano.Yaani,tuwe na serikali moja ya muungano wa Afrika Mashariki kisha nchi washirika ziwe na serikali zao.
Kenya kwa kuwa ina uchumi mkubwa ndiyo iwe na serikali yenye kuvaa koti la Muungano wa nchi za Afika Mashariki
Sent from tecno p3
Kenya kwa kuwa ina uchumi mkubwa ndiyo iwe na serikali yenye kuvaa koti la Muungano wa nchi za Afika Mashariki
Sent from tecno p3