Recent content by On the move

  1. O

    JamiiForums Tanzania Mhe. Freeman Mbowe amkabidhi rasmi kadi ya CHADEMA Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye

    It's better to choose something than not choosing at all .
  2. O

    JamiiForums Tanzania Nimeamini kuwa CCM inaondoka madarakani

    Sina shaka na tupatupa
  3. O

    JamiiForums Tanzania Sauti ya Ujerumani ifungiwe matangazo yake Tanzania

    Mbona kuna mtu kasema 29th November makuful mjengoni? Huyu nae kapotosha kwasababu sio tume ya uchaguz pliz tuwe na kumbukumbu bas and by the way kama hutaki kusikiliza sikiliza redio uhuru.
  4. O

    JamiiForums Tanzania GE2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

    Ni kweli jamani tupia evidence watu tusimslize energy kwa kushangilia
  5. O

    JamiiForums Tanzania Baada ya mashambulizi: Tumerejea hewani, Tupo imara zaidi!

    Poleni sana wameshindwa kwa jina la Yesu.
  6. O

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Nasikitika kuwatangazia kifo cha Baba yangu kipenzi

    Pole sana ndugu
  7. O

    JamiiForums Tanzania Zikiwa zimebaki siku tano, Home Shopping Centre yasitishwa uwepo wake

    Haaaa wanasepa after how many years ?
  8. O

    JamiiForums Tanzania TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

    Ludewa ni nyumbani na Deo alikuwa mbunge wangu nimeumia sana lakini bado naamini Mungu hajatuacha na Mungu hana upendeleo jina la Bwana libarikiwe.
  9. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anataka nifanye nae mapenzi kutokana na mateso ya mumewe

    Hv dawa ya ukimwi doz moko shs ngapi...
  10. O

    JamiiForums Tanzania Mateka wa ISIS wagoma kujiunga na uislamu na waita jina la Yesu huku wakichinjwa

    Jesus paid it all on the cross kama Paul alivosema kuishi ni Kristo na kufa ni faida no fear with Jesus death has no power coz heaven is our home ! If you love Jesus pray for the victims family during this trying times .
  11. O

    JamiiForums Tanzania Mawasiliano ya simu yote yazimwe siku ya uchaguzi yawashwe baada ya kutangaza matokeo

    Ujumbe huu yawezekana ni wa April 1
  12. O

    JamiiForums Tanzania Mgombea CCM aanguka jukwaani akiruka kichurachura!

    Ngoma inogile
  13. O

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Mwanachama mwenzetu wa JamiiForums, Msamiati afariki dunia

    Bwana alitoa na leo amekutwaa jina la Bwana libarikiwe, you truly was a great thinker and celebrity in the making , Mungu aipe faraja familia yake.
  14. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Mke wangu hana tabia ya kunitambulisha kwa marafiki/ofisini kwake na hata wakija nyumbani

    Pole sana, zungumza naye ajue unamjali na unampenda kukutambulisha ni upendo mkubwa mshauri ili kuilinda heshima ya ndoa, Mimi siku moja nilimtoa Wif nikampa nyama choma na vinywaji vya kutosha dadake akanpigia simu ajabu akamdanganya mbele yangu na kushindwa kumwambia ukweli alipo kuhofia labda...
Back
Top Bottom