Recent content by Omy2000

  1. Omy2000

    Msaada: Kubadili taarifa za NIDA

    Habari wakuu, naomba kujua taratibu za kubadili taarifa za nida na vitu gani muhimu vinahitajika. Nawasilisha, asante.
  2. Omy2000

    Msaada; Kupata soft copy ya kitambulisho nida

    Ni ugently inshu brother
  3. Omy2000

    Msaada; Kupata soft copy ya kitambulisho nida

    Habarini za majukumu wakuu..ninayo namba ya NIDA lakini sijafanikiwa kupata kitambulisho hadi sasa..naomba kwa mwenye ujuzi wakupata soft copy anisaidiea
  4. Omy2000

    Msaada interview za Jeshi la Magereza

    Nisaide link Mkuu
  5. Omy2000

    Msaada interview za Jeshi la Magereza

    Nimejaribu ku request toka juzi sijajibiwa wadau wana view tu
  6. Omy2000

    Msaada interview za Jeshi la Magereza

    Anaejua jinsi ya kupata anijuze
  7. Omy2000

    Msaada interview za Jeshi la Magereza

    Wadau nina shida na nakala ya kadi ya nida Namba ya nida ninayo
  8. Omy2000

    Anaesthetist (Mtaalam wa kutoa dawa za usingizi na nusu kabuti) natafuta kazi

    Njoo PM kuna hospital wana scarcity ya ANAESTHETIST
  9. Omy2000

    Naomba kujuzwa tofauti ya NECTA na NACTE

    Habari ya za majukumu wana Jf naomba kujua tofauti ya NECTA na NACTE Pia kuna vyuo ambavyo vipo under NECTA?
  10. Omy2000

    Anhitajika pharmaceutical assistant na nurse attendant

    Nimekutumia mawasiliano yangu p.m ndugu
  11. Omy2000

    Anhitajika pharmaceutical assistant na nurse attendant

    Nimekutumia mawasiliano yangu p.m ndugu
  12. Omy2000

    Msaada interview za Jeshi la Magereza

    Tarehe ya interview mkuu
  13. Omy2000

    Msaada interview za Jeshi la Magereza

    Mahali ambapo gereza linapatikana nilipotuma maombi.
  14. Omy2000

    Msaada interview za Jeshi la Magereza

    Ukisoma vizuri tangazo ni kwamba maombi unatuma makao makuu ya Jeshi la Magereza au gereza ambalo upo karibu nalo na email zote waliweka mkuu
Back
Top Bottom