Necta haina chuo chochote chini yakeHabari ya za majukumu wana Jf naomba kujua tofauti ya NECTA na NACTE
Pia kuna vyuo ambavyo vipo under NECTA??
Vyuo vyote vya ualimu viko chini ya Wizara ya elimu na hufanya mitihani ya Necta na kupata vyeti vya Necta sio NacteNecta haina chuo chochote chini yake
Sasaivi wameingia hadi Veta wanasimamia mitihani yaoNecta haina chuo chochote chini yake
Vinakuwa registered under NACTEVyuo vyote vya ualimu viko chini ya Wizara ya elimu na hufanya mitihani ya Necta na kupata vyeti vya Necta sio Nacte