Recent content by omukajunguti

  1. O

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa Madaktari uungwe mkono na wote wenye akili. Tuachane na kuwaamini wanasiasa. Soma haya.

    Nawaombo waganga wa jadi wakiongozwa na BABU wa Loliondo na DR Kifimbo na Dr wa Vidonda vya tumbo na Bingwa Dr Ndodi , wajameni ingia kazini basi si mlisema nyie ni mabingwa wa magonjwa sugu, Haya tuwaone Muhimbili mnaudumia watu maana serikali inawathamini , waiteni na sangoma wengine wawajoin...
  2. O

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu mgomo na madai ya madaktari Tanzania

    napita
  3. O

    JamiiForums Tanzania mpenzi wangu kaharibika, msaada plz

    Nenda Chuo Kikuu Muhimbili, Taasisi ya Tiba Asilia watakupa dawa nzuri ya ngozi na tatizo litakwisha
  4. O

    JamiiForums Tanzania Kibonde amtetea Ngeleja

    Kwani MAKUWADI hayajui , huyu hana mbele wala nyuma anaganga njaa
  5. O

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa madaktari, waalimu, kutopitishwa kwa budget (mgomo wa wabunge)...TZ mchawi nani?

    Mbona walimu walishagoma siku nyingi ? Kama hujui kampeleke mwanao katika shule za kata ndipo utambue mgomo wa walimu. Mtoto anamaliza darasa la saba bila kujua kusoma na kuandika hapo useme mwalimu hajagoma ? Walimu wametutengenezea pumba nyingi na hizo ndizo zitakuja kuwa viongozi wetu wa...
  6. O

    JamiiForums Tanzania Mapungufu ya Kikwete: Constructive Criticisim!

    Kwani tulimuomba kuwa kiongozi wetu, mbona nyie watu mnajaribu kumpamba ? Rais maana yake ni nini ? ni kiongozi anayepashwa kutuonyesha njia, ndio maana tunamlisha na kumtunza maisha yake yote hili yeye akae atafakari awe makini , afikiri badala ya sisi na kutuonyesha njia ya kutupeleka kwenye...
  7. O

    JamiiForums Tanzania Mch. Mwesiga afyatuka... "Matatizo hayawezi kutatuliwa na watu wenye fikra zilizoyasababisha!"

    Jamani nikiangalia Makamanda wa Chadema napata tumaini jipya, najua Mungu amesikia kilio cha watanzania Watu wenye akili pevu , watu waliopikika wakaiva , watu wanaoweza kulivusha taifa hili na kulipeleka kwenye neema wameanza kuchomoza .Hongera sana Chadema tunawaona tunawakubali. Mimi sio...
  8. O

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu amjibu Komba; short and clear

    Jamani watu wengine tunapashwa kuwasamehe bure Shida ya sisi watanzania ni kudhani kila anayeitwa mheshimiwa basi anazo kichwani. nitawapa namaanisha nini ! Komba wakati bunge letu lilipokuwa limesheeni watu makini yeye alikuwa mnenguaji, akiwaburudisha watu baada ya kufanya kazi nzito za...
  9. O

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Mbowe anamlipia mtoto wake chekechea tu dola 15.000 kwa mwaka

    Hapa tuna Hoja mbili ni vizuri kuzigalia . Kwanza ni uhalali wa fedha na Pili ni matumizi ya fedha. Hatujawahi kusikia kuwa Kamanda Mbowe anayo kashfa ya kulimbia taifa katika bihashara zake ,hajawahi kukwapua EPA, LADA, DEEP GREEN Pili tuangalie matumizi , angalia matumizi hata kamani halali ...
  10. O

    JamiiForums Tanzania Serikali, shughulikieni akina 'Sheikh Ponda' haraka sana

    Wakati mwingine tunapojaraibu kuchangia hoja tumwangalie mtoa mada au hoja ni mtu wa namna gani. Mtu kama ponda ni mtu wa aina gani , ana uwezo wa aina gani , elimu yake ni kiasi gani ndipo tuweze kuanza kulumbana ama kuelimisha , la sivyo tutakuwa tunabishana na vichaa kwa kujaribu kuonyesa...
  11. O

    JamiiForums Tanzania Vurugu Zanzibar, makanisa yachomwa moto!

    Mimi nadhani tuwe wakweli zaidi tunapoangalia swala hili la Zanzibar. Kwanza tuondokane na dhana ya watawala wetu kuwa kila kitu kibaya kikifanywa tunaanza kulalama na kusingizia kuwa kuna mkono wa watu wa nje wanahusika . Hili mimi nalipinga. Machafuko ya Zanzibar hayana uhusiano sana na mambo...
  12. O

    JamiiForums Tanzania Mpigania Uhuru na Mwasisi wa TAA, Dr. Vedastus Kyaruzi afariki dunia!

    Mbona Ikulu mnatudanganya huyu Dr Kyaruzi hakuwahi kuwa katibu mkuu wa TAA na TANU yaye alikuwa President wa TAA wa kwanza kabla ya mwalimu , Nyerere alikuwa bado anafundisha huko Tabora wakati harakati hizi zikiwa Dar es salaam. Naona kuna umuhimu wa kuandika historia yetu upya. Naona viongozi...
  13. O

    JamiiForums Tanzania Mpigania Uhuru na Mwasisi wa TAA, Dr. Vedastus Kyaruzi afariki dunia!

    Dr Luciano Tsere is among those who participated in independence movements and has been forgotten.may be i was not fortunate to see all posts and articles during 50yrs independence celebration but I never heard anyone among our current leaders who publically mentioned existence of the famous...
  14. O

    JamiiForums Tanzania Mpigania Uhuru na Mwasisi wa TAA, Dr. Vedastus Kyaruzi afariki dunia!

    TUWEKE HISTORIA VIZURI , KIFUATACHO NI KIPANDE CHA KIFUPI KUTOKA KWENYE KITABU ALICHOANDIKA DR KYARUZI MWENYEWE AMBACHO SINA UHAKIKA KAMA KILICHAPISHWA. ............At the time I got to St. Mary's at Tabora in 1939 Mwalimu was at Tabora School. I loved and played football. At that time there...
  15. O

    JamiiForums Tanzania Mpigania Uhuru na Mwasisi wa TAA, Dr. Vedastus Kyaruzi afariki dunia!

    Nchi ndio maana tutazidi kuishi kwenye lindi la ufukara ! Watu wenye hekima ambao walituongoza kwa hekima na uadilifu walifichwa uvunguni tukabaki na wahuni na washerekeshaji. Matapeli wa kisiasa, mafisadi na mabaradhuri . Dr kyaruzi ni mmoja wa tunu ambazo zilifichwa kwa makusudi. Wakatukuzwa...
Back
Top Bottom