Recent content by omuhimba

  1. O

    JamiiForums Tanzania Zitto:Ni bora tukakosa mbunge Arumeru kuliko kukosa Diwani!

    Kwani amesharudisha Hummer?
  2. O

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa kampeni CCM Arumeru wakosa watu jana

    sSlaa ndani ya VX.DUH! mi nilidhania watatumia pikipiki kama Che Guavara wanaejilinganisha nae.
  3. O

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa kampeni CCM Arumeru wakosa watu jana

    Slaa ndani ya VX, DUH! mi nilizani watatumia pikipiki kama wanavyojilinganisha na Che Guavara?
  4. O

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa kampeni CCM Arumeru wakosa watu jana

    Uliyesema hakukuwa na watu Kikatiti tazama mwenyewe hawa ni wapiga kura si washabiki.
  5. O

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa kampeni CCM Arumeru wakosa watu jana

    Ukisoma sura za watu hawa utagundua kuwa wako makini wakichuja maneno na vitendo vya viongozi wa CDM, kama kuna jipya au ni yale yale ya kuisema CCM wanaacha kujisimamia wenyewe, Kiukwel hawa ni washabiki lakini si wapiga kura wa CDM pekee.
  6. O

    JamiiForums Tanzania Polisi waliopewa kazi Maalumu Arumeru walalamikia malipo ya tshs 10,000 kwa siku

    Kavuruge utulivu tuone nini kitatokea
  7. O

    JamiiForums Tanzania Mama Maria Nyerere amvika nguo BWM kwa kusema hausiki na kifo cha Nyerere

    Jamani hatuwezi kuwa tunalazimisha hisia,fikra zetu kuwa ndio ukweli!Tusiishi kwa assumptions, we need facts with vivid data to support our argument.
  8. O

    JamiiForums Tanzania Je Lowassa haelewi, anadanganya au ni kiumbe wa ajabu diniani?

    Tujadili mambo yenye tija kwa Taifa na sio mambo binafsi! "Patriotism is supporting your country all the time, and your government when it deserves it. "
Back
Top Bottom