Recent content by omosangora

  1. omosangora

    Kumpata mwanaume sahihi ni kazi kuliko mwanamke sahihi

    Duu majibu magumu lkn fikilishi
  2. omosangora

    Kiwanda cha sukari Mtibwa kinawanyonya wafanyakazi Watanzania

    *150*66# ulipie tiketi ya kwenda kwa Trump kupumzika
  3. omosangora

    Pamoja na mapungufu madogo ya Polisi, tuwapongeze wanafanya kazi nzuri sana tusiibeze

    Asante kwa kuliona hili,palipo na zuri baya halikosi tumuombe mungu iko hawa wabaya wachache wanaolichafua jeshi nao watabadilika kuwa wasafi Sent using Jamii Forums mobile app
  4. omosangora

    Nipeni mbinu za kumpata huyu mwanamke

    Ww jamaa nilikuwa nakuchukulia poa kumbe ndiyo mbinu zako unataka kumung'oa demu wangu,sasa leo jioni nikitoka kazini utanitambua others wise usirudi home hakika utanipa kesi Sent using Jamii Forums mobile app
  5. omosangora

    Msaada: Natokwa na harufu mbaya sana sehemu za siri

    Kaka pole sana kwa tatizo hili,ila kama kweli uko serious njoo rukwa wilaya ya nkasi nikupeleke kwa mtaraamu nina imani hili swala litaisha utarudi ktk hali yako ya kawaida Sent using Jamii Forums mobile app
  6. omosangora

    Taja Baa ambazo zina Totooz za maana kiasi kwamba hata ukiumwa na Mbu husikii maumivu yoyote

    Bitiryo Bar iliyoko Msoma gwabakari mwisota kwisense kuna warembo sana na ni wataramu kwa kupalua samaki
  7. omosangora

    Vanesa mdee ataja mamilioni yaliyotumika kutengeneza MoneyMonday

    Hivi kikawaida mtu akisema bujibuji ni msanii sana unamuelewaje kwa halaka?,so maneno ya Vanessa inaweza kuwa kweli /uongo,lkn wale ni watu wa kutafuta sifa
  8. omosangora

    Kufanya mapenzi ni kumaliza ugomvi

    Sure 100% umeandika mbinu ambayo napenda kuitumia kumaliza ugomvi ndani
  9. omosangora

    Hili ni ajabu la 8 kuu la Dunia.Linapatikana nchi za Afrika tu

    Kiundashi uko vyema sana hadi kuelewa kuwa unazungumzia utawala wa awamu hii iko kazi
  10. omosangora

    Nikipenda tena nigeuke nguruwe

    Kaka Yangu mpendwa pole kama ni kweli,lkn naomba nikueleze kitu hawa ndugu zetu ukimpa mtaji akawa anafanya biashara hapo mkoani ulipo then siku akasema anataka kufunga mzigo mkoa wa pili au tatu ndiyo mwanzo wa yy kuanza kupata wa kufunga naye mzigo na ukiruhusu hilo ktk familia yako usije kuja...
  11. omosangora

    Nimechanganyikiwa, mwanaume akinipa hela ananiomba tena hela

    Kinachokuumiza hapa ni kiasi cha mshahala wake,lkn je unajua take home yake? Je huko nyuma unajua maisha yake yalikuwaje ? Kaa naye chini muonge kwa upole ukiwa unazungusha mauno utajua kwa nn anaomba hiyo 30 Usinifanye nifikili kwa niaba yako
  12. omosangora

    Wadada: Hela ya salon inauza utu wako

    Nashindwa nikuraumu au lah hasha,kama una mkeo ukitongoza ukiombwa 20,000 mnunulie mkeo na watoto wako matunda mpeleke wafurahie kama huna,tafuta wa kiwango chako hao wa 20,000 siyo saizi yako
  13. omosangora

    Tunatengeneza na kuuza viatu vya ngozi kwa bei nafuu

    Hivi wafanyabiashara wa karume bado hajafikili kuwa wale madalali pale wanawahalibia kazi na kuondoa uaminifu kwa wateja wa bara ambao wanakuja wakijua kuwa bongo kuna wezi?,mtu analazimishwa kushika kiatu na watu zaidi ya wanne humuoni kuwa huyu mteja hatonunua kuhofia usalama wake au hili nalo...
  14. omosangora

    Mnamwitaje huyu kwa kabila lenu

    Ongambhereni mukungu nyamatwi
  15. omosangora

    Mchumba wangu anaweza kulala kwangu ila hataki nilale kwake

    Kwanini si uwezo wetu wa kufikili unakuwa finyu au mavyakula tunayokula hususa haya makuku yasiyo na baba na mayai yasiyo na baba,swali ww mkeo akisafiri unaweza mlaza mchepuko chumbani kwa mkeo kama unamheshimu?, Tumia ubongo kufikiri usitufanye sisi tufikili kwa niaba yako.
Back
Top Bottom