Ni kweli uyasemayo,lkn iangalie tofauti kubwa iliyopo kati ya hizo shule. Zingine walau kaunafuu kapo. Sasa kweli shule ya Advance zero zinakuwa nyingi kuliko waliofaulu.....haya ni majanga!
Haya matokeo yameleta furaha kwa vijana na shule zilizofanya vzr. Na ktk hilo hata wazazi wa watoto waliofaulu wamepata faraja sambamba na walimu wa shule zilizofaulisha vzr.
Lakini kupitia matokeo hayo tupo wazazi wa vijana na vijana wetu (wanaoingia kuanza kidato cha tano) ambao...
Nadhani hawa watu wa NIDA kuna kitu kinawasumbua na hawako tayari kuwaeleza Watanzania ukweli,na kwa ukimya huo tutawazidi kuwasuta sana.
Yaani suala la mtu kupata namba ya kitambulisho tu limekuwa gumu sana,utadhania haya mambo tunayafanyia nchi nyingine. Lkn wanapofanya hivyo,wajue kuna...
Kwa hili nilisema na nitazidi kusema..:-
Mh.Paul Makonda uko sahihi na jambo la kusikitisha kama huyu naye eti habari kwa sasa! Labda tupeni jipya tusilolielewa kumhusu huyo mtu anaitwa Likwidi,mmmhhh hii nchi sasa...!!!
Big up sana Mh.Makonda!
Ili nchi yetu iende hakika inawahitaji wenye ujasiri wa kukemea yasiyostahili hadharani tena pasipo woga wowote. Daahhh...!For the first time U have inspired me brother!
Haiingii akilini watu na akili zao timamu mnaandaa event ya kuhamasisha jambo kubwa tena la kuinua...
Daah..! Kifo tumekizoea sawa,lkn kinapokuja ktk style hii ya kuwachukua watu wawili wanaoishi na kufanya kazi pamoja ndani ya siku 14 kinatuacha na simanzi yenye maumivu makali sn. Anyway hatuna uwezo wa kubishana na tendo hilo na tunajizuia kumkosoa MUNGU lkn binafsi...nakosa neno sahihi...
Kuna wakati mtu anatoa kauli ambayo inakupa kusimama kuendelea kujadiliana naye lolote,kwan mtu kudhania kwenda kukopa benki ni umasikini wa fikra inatosha umjue kuwa anachokisema hakijui. Angalau umejikaza wewe umemjibu bro...!
Sina hakika hili litaishia kwa huyu mama tu,tusubiri huenda tutasikia. Haiwezekani kuhatarisha kura za kada ya wafanyakaz kwa mzaha kama huu kisha uendelee kuzunguka pale mezani...mimi hata mate sijameza,nasubiri hili kwa kiu kubwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.