Recent content by ommyjr

  1. ommyjr

    Specifications za Tigo Kitochi 4G

    Ipo hivi. Unaponunua simu toka mtandao husika like Tigo, Voda nk. wanakupa offer ya GB, Sms and dakika. Hii offer inaweza kuwa activated hata kwenye line yako ya siku zote so no need kwa wao kukupa line mpya unless ukihitaji. Inawezekana vipi kuunga hii offer kwa line ambayo haikuwa katika...
  2. ommyjr

    Wauza smartphone tukutane hapa

    nahitaj used smartphone yenye display kubwa kidg na camera nzuri itel s32 or yenye sifa hizo tecno c8 c5 L8 offer 100k 0759753588
  3. ommyjr

    Tupia chochote usichopenda katika uzi huu

    Sipendi text ikija imeandikwa *Nkuombe kitu* au *Nna shida*
  4. ommyjr

    Haha baada kuangalia game la liver na city na kuchelewa kurudi home nimekutana na hiki kwa wife

    Mkeo ni right handed... But kwann ametumia Left hand kuandika hapo.??
  5. ommyjr

    Hivi farasi anauzwa bei gani na matunzo yake yakoje ?

    Mara ya Mwisho nilinunua kwa Buku Jero 2016... Uwezo wako tu wa Ku bargain..
  6. ommyjr

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Wazee wa kupiga promo....naona mmehamia na huku pia.... Haya bnh wazee wa kutumia fursa ndo muda wenu ila zingatieni utu na hiyo bunduki yenu itaua watu [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
  7. ommyjr

    Mrejesho kuhusu Forex Trading: One step at a time, Safari ndio imeanza rasmi

    Maeneo ya vyuoni ni 25 mpk 30...
  8. ommyjr

    Mrejesho kuhusu Forex Trading: One step at a time, Safari ndio imeanza rasmi

    Hapa UEFA inakwenda saaafi kabisa.........Mkuu Jogi wakati nasubiri kufunga hii trade nisaidie Vitabu Vya Kubet Nianze kuvisoma huenda vinalipa navyo...[emoji41] [emoji41] [emoji41] Cc jogi
  9. ommyjr

    Mrejesho kuhusu Forex Trading: One step at a time, Safari ndio imeanza rasmi

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] asee we jamaa ...et huku kijani huku blue.......so unapiga miguu yote!!?
  10. ommyjr

    Bringing FOREX from the world to Tanzania - The road to financial freedom

    Boss naomba kuuliza.. What if nataka kuwa batch ya mwisho coz first week na second Tuna Pepaz Chuo... Mwongozo juu ya hili Salute
  11. ommyjr

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Insert pale ulipoweka ya blue kama ni Simple ndiyo uliweka bas now weka Exponential ita appear ktk graph pia
  12. ommyjr

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    0.72830 kama uli sell hapa....30 pips away si itakuwa 0.72860 ...maana naona sl yako imeenda mpaka 0.73120 au mkuu naona vibaya na order number ni moja
  13. ommyjr

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    30pips? Au mm nachanganya wapi... #62722387 hii order naona entry point yake ni around 0.72830 na SL ni 0.73120 ...je hapa ni 30pips? Au kuna kitu nachanganya ??? Nifungue akili kidogo mkuu...
Back
Top Bottom