Hizi sifaa zita affect acceleration only.. Acceleration ni muda unao tumika kuifikia speed flan .mfano lorry lina acceleration ndogo , piki piki na gar ndogo zina acc kubwa kulingana na ukubwa wake. ..
Upepo , mzigo , taili , air resistance hivi vina affect acceleration kwa kuwa swali la jamaa...