Recent content by omma

  1. O

    JamiiForums Tanzania UDSM: GPA ya Maalimu Seif Sharifu Hamad

    hivi ni kweli Prof Lipumba nae alipata GPA ya 5.0 ...Economics?
  2. O

    JamiiForums Tanzania TANESCO, maamuzi yenu ni maangamizi yetu

    yamenikuta hayo..hivi service charge wanayokata ni ya nini? nina imani bei ya unit wanayotuuzia inatakiwa iwe imejumuisha masuala yote ya kuwafanya wao waweze kutoa huduma kwa faida...wenye ufahamu tuelimisheni
  3. O

    JamiiForums Tanzania Mwenye taarifa alipo Athumani Saidi Janguo

    alipata kuwa Dg wa Reli na Bandari kwa nyakati tofauti..kwa sasa anapatikana Mikocheni
  4. O

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kwa ajira za binafsi na serikali kuweka sharti la umri?

    kwa uelewa wangu mdogo ni kuwa ule umri wa miaka 45 unalenga kuhakikisha kuwa mtu ataweza kustaafu na kulipwa pensheni kwani mifuko.mingi ya hifadhi ya jamii sheria zake zinamtaka mwanachama awe amechangia si chini ya miaka 15 ili aweze kupata malipo ya kiinua mgongo na pensheni kila mwezi. Na...
  5. O

    JamiiForums Tanzania Nashauri pension iwe baada miaka miaka 15 kuliko miaka 60

    jamani kila jambo lina makusudio yake...pensheni makusudio yake ni kukupatia kipato pindi uwezo wako wa kufanya kazi unapokuwa umeondoka au umepungua ama kwa kufikisha umri au ugonjwa. Tuangalie fursa zingine za kuongeza kipato wakati tuna nguvu...
  6. O

    JamiiForums Tanzania Yupi Kati ya hawa ungependa awe rais wa Tanzania 2015?

    hakuna
Back
Top Bottom