Recent content by Omesk

  1. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wazazi wenye watoto wa kiume kuna ujumbe wenu

    Ila wakibaki peke yao wanajua kazi vizuri tu nasikia
  2. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wazazi wenye watoto wa kiume kuna ujumbe wenu

    Wazazi wenye watoto wakiume. Dunia imebadilika hii, wafundisheni watoto kazi za nyumban, kuna leo na kesho. Sio kazi za nyumban ziwe za watoto wa kike tu. Dada yangu kapata wageni shemeji zake wadogo tu wamefunga shule..form 2, 4 , na 6. Hawafanyi kazi yoyote ndani kisa wa kiume. Dada anaamka...
  3. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukizaa nje ya ndoa; muache mtoto alelewe na mama yake mzazi

    Tukibaki nao tena tunakosa wakutuooa
  4. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ufanye nini baada ya kuvunja ndoa?

    Ndoa hatukufunga tulikua tunaishi tu...poa mimi ndio nimechoka na matendo yake nikaamua kuondoka tu nawatoto
  5. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ufanye nini baada ya kuvunja ndoa?

    Sawa nikapange au nikae kwanza nyumbani??
  6. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ufanye nini baada ya kuvunja ndoa?

    Alafu ninabint ambae nimeshindwa kumrudissha kwao sasa HV maana hata mwez haujamaliza tangu kaja
  7. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ufanye nini baada ya kuvunja ndoa?

    Kasema hawezi kuhudumia watu aambao hawako mikononi mwake
  8. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ufanye nini baada ya kuvunja ndoa?

    Naj Najipa muda nikiwa wapi?
  9. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ufanye nini baada ya kuvunja ndoa?

    Hatukua na ugomvi mkubwa zaidi kuishi kwa kutoelewana tu + tendon la hakuna kila siku ni kuona msg za wanawake tu in short nimeng
  10. O

  11. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ufanye nini baada ya kuvunja ndoa?

    Naomben masada wenu wa mawazo Nimeachika ninawiki sasa ninawatoto 2 mmoja ana 7yrs na mwingine ana miez 8 sasa. Naomben masada wa mawazo nifanye nini kwa sasa ili nijikimu kimaisha? Nina nurse mwaka mmoja na ADDO kwa ajiri ya kutoa dawa (kuuza duka la dawa). Nilikua nadukaa la dawa nimemuachia...
  12. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nifanyeje nipate haki yangu

    Habar za jumapil Wapendwa samahan Kama nawachosha na maisha yangu binafsi naombeen mnisamehe nimapito tu ambayo ipo siku yatakua historia Ipo hivi nimefanikisha kuachana na jamaa nimerudi nyumban changamoto iliyopo wakati ananioa nilihamia kwake na vitu vyangu Kabati la nguo Kabati la vyombo...
  13. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mungu nisamehe kwa nilichotaka kufanya

    Asante
  14. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mungu nisamehe kwa nilichotaka kufanya

    😀😀😀nimecheka aisee
  15. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mungu nisamehe kwa nilichotaka kufanya

    Miss Kuna vitu ni rahisi tu kuvifikiria kwa juu Lkn Kama unapitia ningum mno fikiria mtu uliamini ni mwenzako na hakua hivyo anakuja kufanya kisa mtoto Binafsi nimehangaika hospital naambiwa Sina tatizo Nimekunywa dawa nyingi za kienyeji bila mafanikio Mtu afanye kwa starehe yake sio sababu...
Back
Top Bottom