Recent content by omegas

  1. O

    Sijasikia Waandishi wa habari wakiwahoji upande wa NEC na Bunge kuhusu Wabunge Viti Maalum wa CHADEMA

    Ninyi ni wendawazimu haswaa,yani unamgushi mtu kiaje? Kwa hiyo Halima mdee na wenzake ni vivuli siyo watu halisi?ndiyo maana mkapa aliwaita wapumbavu!!! Kama majina ni ya kugushi basi hawajaenda kuapa wenye majina???
  2. O

    GE2020 Zitto ni kati ya viongozi wanaotakiwa kubebeshwa lawama, kuzomewa na kupuuzwa kutokana na hotuba zake zilizotaka kuvuruga amani wakati wa kampeni

    NA MWANDISHI WETU, ZANZIBAR MWANASIASA Mkongwe Zanzibar, Baraka Mohamed Shamte, amemtaka kiongozi wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe, kabla ya kudai kumefanyika maonevu na unyanyasaji, kwanza aileze dunia kiongozi gani wa chama chake aliyewaamrisha wafuasi wake kubeba silaha za jadi na kujiweka...
  3. O

    Zitto Kabwe ukishinda shangilia ushindi lakini pia ukishindwa tulia jipange upya

    MWANASIASA Mkongwe Zanzibar, Baraka Mohamed Shamte, amemtaka kiongozi wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe, kabla ya kudai kumefanyika maonevu na unyanyasaji, kwanza aileze dunia kiongozi gani wa chama chake aliyewaamrisha wafuasi wake kubeba silaha za jadi na kujiweka tayari kwa mapambano. Pia...
  4. O

    Mbona course ya M.D. haipatikaniki kwa hata vyuo kama ST Fransis nini tatizo?

    Mtoto wangu kasoma pcm amechaguliwa sua course ya Agronomy anazingua nifanyeje waungwana? Yeye anataka course ya famasia
  5. O

    UV-CCM na Vijana wa CCM mmelala sana katika mitandao ya kijamii, mko wapi?

    Hatunaga mda na mitandao sie tuko kitanda kwa kitanda nyumba kwa nyumba wala huo hapashawishi wapiga kura wetu,nyie kalieni kwenye mitandao lakin msije kusema mmeibiwa kura!!!
  6. O

    GE2020 CCM acheni kujipa Moyo, CHADEMA walijiandaa na Uchaguzi muda mrefu. Siri hii hapa...

    Wewe ni mwongo mkubwa chadema wamejiandaa wapi?? Kwetu hawana hata kiongozi mmoja na makao makuu ya mkoa sasa hayo mashina na matawi yako wapi? Tengenenzeni plopoganda zenu lakini ukweli utabaki kuwa ccm hakijapata upinzani wa dhati
  7. O

    Bernard Membe kuongea na Wahariri leo Oktoba 19, 2020

    Kwanini hawajakufuntgia na wewe yako? Uongo mwingine punguzeni! Membe a7natkangaza kurudi nyumbani kauwasoma wapinzani hawajawa na nia ya kuchukua nchinchihfkekokahk.rg7g
  8. O

    GE2020 Kwa mambo haya 10, mimi kama Mtumishi wa Umma (mwalimu), John Pombe Magufuli sikupi kura yangu asilani

    Na mimi nimekumbuka watumishi walivyokuwa wamegeuza ofisi za umma kama mali yao, kwa Magu thubutu tena uone kazi! Halipo tena Magu mitano tena tunampa 2. Walimu waliokuwa wanafundisha kijijini walipofuata mishahara walioamua kulewa takribani wiki mbili bila kurud shuleni wakisingizia foleni...
  9. O

    GE2020 ACT-Wazalendo wamuunga mkono Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

    Ikulu ni mahali patakatifu siyo kila mtu ana sifa za kuwa ikulu. Wapinzani bado sana kufika ikulu
  10. O

    Zito Kabwe huna hoja tena umebaki na uongo tu

    ZITO ADHIHILISHA WAZI ADUI NA. 01 WA MKOA WA KIGOMA. Salam sana wana KIGOMA Nimesikiliza kwa makini moja ya hotuba yake aliyoitoa mwandiga wakati akimwombea kura mgombe ubunge kupitia chama cha ACT WAZALENDO akijibu hoja za mgombea uraisi kwa tiketi ya chama cha mapinduzi CCM ndg Magufuli...
  11. O

    Zitto tulia, acha upotoshaji, omba msamaha

    We waambie wakose sifa za kugombea halafu uwadanganye kuwa watakuwa salama! Tume ipo kwa mjibu wa sheria vyama vyetu vya upinzani mnaokota okota wagombea waliopoteza sifa za kugombea mkidhani watapata rehema?? Zito jiandae kujiondoa wagombea wako kwenye kinyanganyiro cha uchaguzi wa 2020-2025...
  12. O

    Biashara ya Chakula (mama wa biashara zote)

    Umeitendea haki hii mjomba umenifumbua macho ubarikiwe
  13. O

    GE2020 Hongera Tundu Lissu. Watanzania wamepata wa kuwafuta machozi

    Hatagombea Lisu wenu kwa sababu ya kupoteza sifa za maadili, ubunge wake hamkubuki kilichoupoteza? Hivyo pingamizi kwenye wagombea litamhusu. Subirini mtaona
  14. O

    Tunaposhangaa wanaotuongoza hawajatufikisha tunapohitaji tuwe makini sana, tusije tukawa tunajipinga wenyewe

    Shida ni kutangulia kwao weupe na kupewa fikra pevu za kuona mbele kuliko mweusi,tukubali tusikubali kwa mawazo ya kipumbavu ya kupinga hata mazur yanayoonekana kufaulu kwa JPM wacha tuwe manamba tu
Back
Top Bottom