Zito Kabwe huna hoja tena umebaki na uongo tu

omegas

Senior Member
Jun 3, 2018
111
137
ZITO ADHIHILISHA WAZI ADUI NA. 01 WA MKOA WA KIGOMA.

Salam sana wana KIGOMA

Nimesikiliza kwa makini moja ya hotuba yake aliyoitoa mwandiga wakati akimwombea kura mgombe ubunge kupitia chama cha ACT WAZALENDO akijibu hoja za mgombea uraisi kwa tiketi ya chama cha mapinduzi CCM ndg Magufuli kigoma mjini.

Zito ameeleza mambo mengi kuhusu waziri wa fedha ndg Mpango ambaye pia ni mgombea ubunge kwa tiketi ya chama cha mapinduzi CCM kuwa ndiye aliyekwamisha miradi mikubwa ya mkoa wa kigoma.

Ameeleza mengi sana lakini katika yote Zito kabwe hakuna hata sehemu moja aliyotaja kuwahi kumkumbusha Bungeni waziri huyo kuhusu suala la waziri kusababisha kukwama kwa miradi hiyo zaidi alisikika bungeni kwenye upingaji wa ukamataji wa makontena ya makinikia ambayo alikuwa na masrahi nayo, lakini pia jambo kubwa ZITO KABWE alilofanya kimataifa kwa nguvu zake zote ni kuwaomba wafadhili watunyime Tanzania fedha za miradi ya Elimu kwa watoto wetu wa kitanzania.

Sasa wana kigoma nawakumbusha kwamba mjue ZITO ndiye adui wa maendeleo ya mkoa wetu wa kigoma na Tanzania kwa vitendo vya miaka yake mitano akiwa mbunge alivyotufanyia

Hakuna mtu mwenye akili timamu na anayejua anachofanya ZITO kwa miaka yake yote hakuna alipowahi kumshitaki Dr. Mpango kwa wananchi leo amesubiri kagombea anakuja na hoja za kipumbavu eti ndiye aliyekwamisha miradi ya mkoa wa kigoma hatumwelewi kabisa zito kabwe ni Mwongo kuliko baba yake shetani

Nawatahadhalisha wana kigoma wote kumpinga kwa nguvu zetu zote ZITO KABWE ndiye kikwazo cha kigoma kupata maendeleo hafai kuwa mbunge wa jimbo la kigoma mjini jamani mpigeni chini ili mkoa wetu tupate maendeleo .

Ni mwenzenu mshauri wa kweli
Mkemwema
 
Banyamulenge kwa huo ubishi wenu ndio maana mpaka leo ndio eti mnajengewa barabara ya lami.mpo nyuma kwani bado mna ubishi na viashiria vya fujo kama majirani zenu wanaowazunguka huko! Na mkifanya kosa mwaka huu mkamchagua huyo tapeli wa kisiasa na misheni town wenu mtaisoma namba! Sijui mpoje
 
Back
Top Bottom