Recent content by omega mwasenga

  1. O

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ianze kuhutubia taifa kila mwezi kuhusu Chama

    kweluli unapozungumzia cdm unakuwa umezungumzia mpango wa MUNGU hii inafmdhihirisha tunapopata watu wenye ubunifu kama kamanda yericko. PPL'Z POUWER!
  2. O

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ianze kuhutubia taifa kila mwezi kuhusu Chama

    kaka yeriko mawazo hayo ni mazuri sana ni vema yakafanyiwa kazi sasa; hapa ccm lazima wapate somo PEOPLE'S POUWER.
  3. O

    JamiiForums Tanzania Baada ya Mwigulu kupita Iringa Msigwa ka panic?

    mnaota kweli mby hapa mtasubiri saaaaaaana.
  4. O

    JamiiForums Tanzania Wasanii wetu na 'Uzalendo wa maslahi'

    ahahaha nimekumbuka maneno ya prof. Lipumba alivozungumzia usanii wa jk nimeamini hakukosea.
  5. O

    JamiiForums Tanzania Wasanii wetu na 'Uzalendo wa maslahi'

    mbona unajitoa ufahamu au zile za china zimekuzidi maana tangia ukoswekoswe china; pesa zetu zitarudi tu.
  6. O

    JamiiForums Tanzania Wasanii wetu na 'Uzalendo wa maslahi'

    tz hii naona wasanii wengne bado saaaana kujitambuwa.
  7. O

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa: Sina Mpango wa kugombea Urais 2015

    hongera dr.slaa lkn tuomba ugombe bado unastahili kuwa presd wetu; kwani tunakuamini nakutambuwa mchango wako.
  8. O

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu ya bomu la Soweto: CHADEMA kufanya Mkutano wa hadhara Olasiti Arusha tar 15 June 2014

    r.i.p makamanda bado tunawakumbuka waache c.c.m na unyama wao ipo cku watajuta.
Back
Top Bottom