Yericko Nyerere
Platinum Member
- Dec 22, 2010
- 17,027
- 20,519
Kama sehemu ya Uendezi wa Chama, ninapendekeza Chadema ianze sasa kutoa hotuba za Chama kila mwezi kupitia Radio na Tv,
Kwasababu Katiba ya Jamhuri na Sheria za Nchi hazizuii Chama cha siasa kujieneza kwa kutoa hotuba za kitaifa kupitia vyombo vya habari, hivyo ni wakati mbasibu sasa Chama kuanza staili hii na kuleta matumaini kwa kizazi kilichokosa tumaini dhidi ya utawala huu dharimu wa ccm.
Uwekwe tu utaratibu wa kila mwisho wa Mwezi Mwenyekiti wa Chama au Katibu mkuu wa Chama alihutubie Taifa juu ya Chama na menguneyo.
Lakini jambo lungine ambalo huenda likawa gumu kwa chama tawala lakini ni lazima litimie, nikuwa Chadema sasa ianze utaratibu wa kudhuru taasisi za serikali na kujionea changamoto zinazowakabili na kisha kuishauri/kuishinikiza serikali kutatua changamoto hizo.
Hili lifanyike kwakuzingatia kuwa dhamira ya mfumo wa vyama vingi si kwenda ikulu, bali kuleta uhimizaji na uwajibikaji kwa chama tawala na kukuza uchumi na maendeleo ya nchi. Ili hayo ya timie ni lazima Chama cha upinzani kizuru maeneo husika na kujionea changamoto zake.
Mfano. Chadema inaweza kuamua kuzuru Jeshi la Magereza kujionea changamoto zake, Inaweza kuzuru Wizara ya Kazi kujionea changamoto zake, inaweza kuzuru ofisi ya rais (ikulu) na kuona changamoto zake, inaweza kuzuru jeshi la polisi na kujionea changamoto zake.
Na baada ya hapo kila mwezi Chama kihutubie taifa nakutoe mapendekezo mbadala ya kutatua matatizo waliyoyaona katika jamii.
Aina hii ya kisasa ya uendeshaji siasa ipo nchi zote zilizoendelea, USA ni sehemu mojawapo ambapo chama cha upinzani huwa na hotuba za kila mwezi katika media,
NB
Hotuba hizi ni lazima uwekwe utaratibu zitolewe/zisomwe na Kiongozi wa Upinzani ama mtu mnayemtaraji kuja kushika bendera ya chama katika kuwania urais, hivyo wanaweza kuteuliwa watu wawili ama watatu kuwa wasoma hotuba maalumu, lakini mmoja kati ya hao atakuja kuwa rais.
Pipooooooooooooozzz!