Recent content by ombeni Cliford

  1. ombeni Cliford

    JamiiForums Tanzania Raisi John anafaa sana mana amefanya yaliyowashinda

    Lazima ifike mahali tuache kushupalia vitu visivo na msingi,huyu raisi Magufuli ameiweka nchi yetu ktk ramani kwa sasa tunaheshimika duniani
  2. ombeni Cliford

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nunua nyumba Kibaha mjini kwa mkuu wa mkoa

    Bei umetaja kubwa asee hapo si maeneo ya ndimbo??
  3. ombeni Cliford

    JamiiForums Tanzania Polisi waizingira ngome ya Chadema Buyungu akiwemo Mwenyekiti Mbowe

    Me nafikiri Watanzania tubadilike tujue kwamba polisi sasa wamebadilika wamekywa na ueledi mzuri wa kufanya kazi zao kwa usahii
  4. ombeni Cliford

    JamiiForums Tanzania Polisi waizingira ngome ya Chadema Buyungu akiwemo Mwenyekiti Mbowe

    Nafikiri Polisi wanafika sehem zisizo na usalama kwahyo kufika kwao pale uenda kuna kitu kilitaka kuhatalisha usalama wa raia
  5. ombeni Cliford

    JamiiForums Tanzania Naomba jina la mtoto wa kiume linaloanza na C

    Crispin
  6. ombeni Cliford

    JamiiForums Tanzania Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

    Asee Mond yupo saana tuu Sent from my TECNO W2 using JamiiForums mobile app
  7. ombeni Cliford

    JamiiForums Tanzania Tuliosoma st kayumba tutiririke jambo lolote kwa kiingereza chetu kibovu,usitumie kiswahili

    Why you fall fall me you??
  8. ombeni Cliford

    JamiiForums Tanzania EATV mnakoelekea mnatia aibu sana!!!

    Bill Sepenga
  9. ombeni Cliford

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atinga bandarini, ashangaa vichwa vya treni kushushwa na kukosa mwenyewe

    Mzee yuko sawa lakni aache watu wakosoe ili anyooshe zaidi
  10. ombeni Cliford

    JamiiForums Tanzania Lissu: Spika Ndugai ni Mnafiki, hatutaki futari ya kiongozi anaetubagua

    Hila kweeli,futari kwan jambo muhim kwa wabunge??peleka kawafutulishe yatima mitaani usifike!!allaah
Back
Top Bottom