Raisi John anafaa sana mana amefanya yaliyowashinda

May 31, 2013
10
7
Lazima ifike mahali tuache kushupalia vitu visivo na msingi,huyu raisi Magufuli ameiweka nchi yetu ktk ramani kwa sasa tunaheshimika duniani
FB_IMG_1460812345335.jpg
IMG_20180708_202536.jpg
 
Nimehisi aibu baada ya kusoma na kuona picha zilizoambatanishwa! Bahati mbaya sana watanzania wengi hasa wa vijijini ni washamba namna hii na hawana hata dalili ya kubadilika! Yaani bado wapo kwenye usingizi wa pono.

Huku usukumani wao utawasikia "Ka-magufuli nchi kameipatia, kanaipeleka vizuri"... Ukimuuliza kwanini? Anajibu " kamenunua ndege" halafu anaishia hapo. Basi unabaki umemtizama tu na kumuacha.

Nilivyofika huku na kuisoma jamii ya ukanda huu, nimeacha hata kuongelea masuala ya siasa wala kumtaja jiwe. Nasikiliza tu wazee wanavyopongezana kupata rais wa kabila lao, halafu wakibadili topic wanaanza kulalama, utasikia..."maisha siku hizi yamekuwa magumu sana".. Nami najisemea tu moyoni "nyau ninyi, na bado"...

Ukiwakosoa na kupingana nao hasa Chattle, waweza jikuta mikononi mwa kitengo. Hivyo ni kuwa-ignore tu, tunawajibu huku JF
 
Umesema kweli hata mimi nimehisi aibu aisee. Si ajabu tunavyodharauliwa na majirani zetu. Baadhi ya watanzia bado wako karne iiyopita. Huko unakokusema sasa hivi ndo tunapeleka kampeni ya kuwahamasisha wananchi kuchimba vyoo na kuvitumia. Pia si ndo hukohuko wanakoamini ukiwa na mkono wa albino unatajirika? Usisahau pia ni haohao mtu anaweza kumuua mama yake mzazi kwa kumuhisi mchawi eti kwakuwa ana macho mekundu jamani!!! Mama yako hakukula ukiwa mdogo aje akukule ukiwa mtu mzima baada ya kukulea kwa taabu na shida nyingi!! Hii sio laana kweli? wana tofauti gani na mashetani hawa? Hawa ndo unaowazungumzia, unafikiri uelewa wao wa kufikiri upoje?
 
Haswaaaaa!!! Tunazuiwa kusemea makabila, lakini ukweli hili kabila bado lipo karne ya 17! Kwa wale walio mijini wana afadhali, ukiingia vijijini (hii ipo pia sehemu nyingi za vijijini) unagundua kuwa kuiondoa ccm madarakani bado ni kazi sana!
 
Maendeleo ya mtu huletwa na mtu mwenyewe kwa kufanya kazi, Kazi ya serikali ni kuweka mazingira wezeshi tu, kitu ambacho serikali ya awamu ya tano inajitahidi kwa kiasi kikubwa kufanya hvyo. Tunaona ujenzi wa reli, barabara, madaraja, vivuko, stiggler gorge hii ni ishara nzur ya maendeleo kwa nchi yet.
 
Tafakari upya
 
Nimehisi aibu baada ya kusoma na kuona picha zilizoambatanishwa! Bahati mbaya sana watanzania wengi hasa wa vijijini ni washamba namna hii na hawana hata dalili ya kubadilika! Yaani bado wapo kwenye usingizi wa pono.

Huku usukumani wao utawasikia "Ka-magufuli nchi kameipatia, kanaipeleka vizuri"... Ukimuuliza kwanini? Anajibu " kamenunua ndege" halafu anaishia hapo. Basi unabaki umemtizama tu na kumuacha.

Nilivyofika huku na kuisoma jamii ya ukanda huu, nimeacha hata kuongelea masuala ya siasa wala kumtaja jiwe. Nasikiliza tu wazee wanavyopongezana kupata rais wa kabila lao, halafu wakibadili topic wanaanza kulalama, utasikia..."maisha siku hizi yamekuwa magumu sana".. Nami najisemea tu moyoni "nyau ninyi, na bado"...

Ukiwakosoa na kupingana nao hasa Chattle, waweza jikuta mikononi mwa kitengo. Hivyo ni kuwa-ignore tu, tunawajibu huku JF
Kumbe ni kabila lao!
 
Back
Top Bottom