Imekuwa ni wimbo wa kila mtanzania, kuwa hela imekuwa ngumu kupatikana, biashara haziendi
wadeni wangu, wameshindwa kunilipa kwa zaidi ya miezi mitano sasa. Swali: hali hii ina sababishwa na nini hasa
na nini kifanyike?
Kitaalamu zaidi kwa ameture,
Kama nimemsikia vizuri lusinde, amesema anajibu marusi ya cdm, sasa kama kuna mtu ana kumbukumbu ya hayo matusi yaliyo tolewa na cdm, atupe evidence, in audio & video if possible.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.