Recent content by OMARY RAMADHANI

  1. O

    Ni muda mrefu kiasi gani uliwahi kutongoza na hukufanikiwa?

    Kuwahi au kuchelewa huwa kunategemea na unacho hitaji wewe na anachohitaji yeye,
  2. O

    Uhusiano kati ya size ya lips za mdomo wa mwanamke na size ya kibuyu chake cha asali

    Uhusiano upo tena mkubwa sana, na hii haiishii kwa wanawake tu hata wanaume pia, mbinu hii ilitumika sana zamani wakati watu wakichaguwa wenza wa maisha yao, inahusisha vitu vitatu:- kimo (urefu wa mtu), lips (maumbile ya midomo yake) na mwisho vidole vya miguu hasa kidole gumba Kwa kutazama...
  3. O

    Hivi kwanini kwa sisi wanaume wengi, ni rahisi kumpata mdada usiemtaka, ila kumpata mdada unaemtaka inakuwa ni ngumu?

    Tatizo lako ni kuloose confidence.... Unapo mchukulia mwanamke kawaida inakuwa kawaida kweli, haikupi shida kuzungumza nae chochote bila kujali atakavyo jisikia. Ila ukishakuwa na hisia za upendo Kwamtu, hata maneno ya kusema unajitahidi kuyapangilia ili usiongee pumba, unafeli kwenye approach...
  4. O

    How GOD is smart

    Mkuu umesema kuishi duniani kunahitaji uwe na (mwili) ndio maana majini wanaingiza katika miili ya wanadam ili waweze kuishi duniani... Swali langu! Jini ni nini? Na kabla jini hajaingia katika mwili wa mwanadam huwa anapatikana wapi?
  5. O

    Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

    Faiza....! Si rahisi sana japo inawezekana kwa mtu kua na hisia na mapenzi ya dhati kwa mtu pasi na kumuona. Si kwa uzuri wa sura wala maumbile yako, si kwa ukubwa wa jina wala umaarufu wako......... Ila Hekima, Busara na uwezo wako mzuri wa kufikiri na kuchanganua mambo ndivyo vilivyo...
  6. O

    Kila nikilala na mwanamke yeyote huwa wananing'ang'ania

    Kama 'kunio' lako limelalia kushoto hiyo ndio sababu mkuu.......
  7. O

    Kila nikilala na mwanamke yeyote huwa wananing'ang'ania

    Kama 'kunio' lako limelalia kushoto hiyo ndio sababu mkuu.....
  8. O

    Ya MC Pilipili hayapaswi kufanywa na mwanaume rijali

    Kulia mbele ya mwanamke, kumlilia mwanamke au vyovyote tu......!! Msingi mkuu wa tendo ni kulia kwa sababu ya mapenzi' kwa mtazamo wa kawaida haileti maana nzuri hasa unapofanya tendo hilo mbele za watu, Ila mtazamo wangu unaweza kua tofauti kidogo na mawazo ya walio wengi.... Katika...
  9. O

    Starehe ya wasiokunywa pombe ni ipi?

    Kabla ya kua mlevi ulikua ukitumia nini ili kujistarehesha...? au umegundua starehe huwa zipo dunian baada ya kuanza kupata mshahara...? maana hata maandiko yako yamewataja watu wenye kazi, vp makundi mengine....?
  10. O

    Nahisi kuua mtu asubuhi hii, naomba ushauri wenu...

    Kwa kawaida 'Mtusi huanza kwa kutoa matusi madogo madogo kisha hufuatisha matusi makubwa. Kuna makubwa zaidi ya hayo matusi unayapitia na kosa lako ni kushindwa kukemea mambo haya mapema. Pigania kurejesha hadhi na heshima yako ktk familia yako, kama ulikua nayo lakini' ila kama hukua nayo...
  11. O

    SWALI: Kwani ni lazima mwanamme afike kileleni mbona wanawake hatufiki?

    Swala la mimi kufika hilo halikwepeki, na ikitokea nisifike na sababu ukawa ni wewe huenda ikakugharim. Ila kufika kwako wewe itategemea na jitihada zako, ikiwa utakua mzembe mzembe lazima tu utawaza kama mleta mada alivyo waza.
  12. O

    Wanaume mpo kweli?

    Kadi, nguo na pesa ya salon. Mbona bikira yako ina thamani ndogo kias hicho......!! au ni ya kichina?
  13. O

    Mke wa ndoa anaposema maneno haya anamanisha nini ?

    Simamia majukum yako kama baba wa familia, hakikisha watoto wanapata elim, lishe nzuri, makazi bora na mahitaji mengine ya muhimu. Kuhusu huduma ndogo ndogo unazo hitaji wewe jihudumie mwenyewe, ukiona ratiba yako inakubana au huwezi kumudu hilo ajili house grl, Kuhusu huduma ya tendo hiyo...
  14. O

    Kada CCM Dr. Muzzamili Kalokola ajitosa urais 2020, adai Magufuli kakiuka utaratibu

    Huyu ni chambo tu........ Walioshika mshipi ndio wenye nia ya kumtoa samaki baharini
  15. O

    Tuna Rais wa Ajabu kweli kweli

    Muigizaji ktk ubora wake..........
Back
Top Bottom