Recent content by Omary Ndama

  1. Omary Ndama

    JamiiForums Tanzania Lini wataachia internet tupige mishe mitandao ya jamii?

    Wakuu nikikomment humu jamvini sehemu ya ku like inaniletea neno "moderator" nisije kuwa Niko hacked bila kujua[emoji848]
  2. Omary Ndama

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Dar: Tahadhari, epuka njia hii usiku huu

    Na ndo ccm inavyotaka hivyo tuwe na taifa la wajinga
  3. Omary Ndama

    JamiiForums Tanzania Sherehe inapogeuka msiba

    Kafara hilo
  4. Omary Ndama

    JamiiForums Tanzania Masaa yajayo ni muhimu zaidi kuliko yaliyotangulia

    Ndo hoja hiyo[emoji3]
  5. Omary Ndama

    JamiiForums Tanzania Masaa yajayo ni muhimu zaidi kuliko yaliyotangulia

    Na kweli kwa tarakimu hizi lazima mshinde Jimbo La Kawe.[emoji23][emoji23] [emoji117]Mdee kapata kura 32,524 [emoji117]Gwajima apata kura 194,833 ** Jumla 227,357 Kwenye Urais [emoji117]Meko kapata kura 302,304 [emoji117]Lissu Kapata 29,285 **Jumla 331,589 Ina maana watu 104,232 hawakupewa...
  6. Omary Ndama

    JamiiForums Tanzania Masaa yajayo ni muhimu zaidi kuliko yaliyotangulia

    Maajabu Ya NEC Jimbo La Kawe. [emoji117]Mdee kapata kura 32,524 [emoji117]Gwajima apata kura 194,833 ** Jumla 227,357 Kwenye Urais [emoji117]Meko kapata kura 302,304 [emoji117]Lissu Kapata 29,285 **Jumla 331,589 Ina maana watu 104,232 hawakupewa kabisa za kumpigia mbunge? Hivi mnashindwaje...
  7. Omary Ndama

    JamiiForums Tanzania VPN baba lao

    Halafu net Kama yote asee[emoji23]
  8. Omary Ndama

    JamiiForums Tanzania VPN baba lao

    Mi swizzer land Leo dah VPN kiboko[emoji23][emoji1787]
  9. Omary Ndama

    JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba: Kura sio siri tena

    Saa ngapi mnarudisha internet mkuu, tushuhudie mlivyochaguliwa kwa 200%,[emoji3]
  10. Omary Ndama

    JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba: Kura sio siri tena

    Usishangae mkuu mbona toka juzi yanafanyika haya...[emoji3]
  11. Omary Ndama

    JamiiForums Tanzania Masaa yajayo ni muhimu zaidi kuliko yaliyotangulia

    Sio 200% naona uchaguzi wa mwaka huu mmezima hata internet kwa jinsi watanzania wanavyoipenda ccm [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
  12. Omary Ndama

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba: Kuna uwezekano mkubwa wa Mitandao ya Kijamii kuzimwa

    Leo limetimia mkuu[emoji22]
  13. Omary Ndama

    JamiiForums Tanzania TCRA mnaniharibia Kazi kuzima mitandao ya Kijamii. Mitambo ya Kiwanda inakufa

    Ni kweli dunia Leo macho yao yako Tanzania vpn yangu ilianza kuchokonolewa nikatumiwa setting code faster....
  14. Omary Ndama

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mitandao ya Twitter, WhatsApp, YouTube na Telegram haipatikani kupitia baadhi ya mitandao ya simu

    Hakuna shida mkuu tumejiongeza teyari na vpn[emoji23]
  15. Omary Ndama

    JamiiForums Tanzania Tukapige kura

    Labda uwe na card ya mboga mboga, yaani utaruhusiwa tu iwapo msimamizi kajiridhisha huyu wakwetu[emoji23][emoji3]
Back
Top Bottom