Recent content by omary mwene

  1. omary mwene

    JamiiForums Kiwanja kizuri kinauzwa bei nzuri sana

    weka bei na weka picha.
  2. omary mwene

    JamiiForums Dogo Kanitibulia Valentine Yangu, Wallah Nikimkamata Nauaa

    hadith yake nzuri,naomba niimpe mji.........!?
  3. omary mwene

    JamiiForums Bomoa bomoa yaja dar

    wanabomoa nini na maeneo gani....!?
  4. omary mwene

    JamiiForums Ofa ya dina kwa mkaka siku ya wapendanao

    mmmmmh hiii itakuwa safari ya kupelekwa tanga kunyonywa damu.
  5. omary mwene

    JamiiForums Ipe maneno picha yangu wanungwana

    utamu wa chips kuku,mimba.
  6. omary mwene

    JamiiForums Rais Kikwete ahojiwa na CNN kuhusu ujangili

    Aaaaaaah wamekata............ Umeme wenyewe,tuacheni tanesco tumuangalie raisi wa ..........
  7. omary mwene

    JamiiForums Rais Kikwete ahojiwa na CNN kuhusu ujangili

    Vipi kashawakamata hao majangili...!? Au ndio hadithi zilezile za sungura na fisi..
  8. omary mwene

    JamiiForums Clouds TV

    wanashindwa kupanga vipindi hambavyo vitakuwa na mashiko kwa watazamaji wa lika lote.
  9. omary mwene

    JamiiForums Ama Kweli Huyu Jamaa ni Noma

    hii sio jezi ya yanga ni frana za kijani na njano hambazo hutumia kuchezea mechi yanga....
  10. omary mwene

    JamiiForums CHADEMA tumeshindwa Vibaya Uchaguzi huu, Tunahitaji tathmini ya kitaalamu…

    ha ha ha haaaaa.......... naona leo mnatamba nyinyi tu ccm....!? nikikumbukaga ule usemi waliosemaga ccm kwamba "hatuwezi kuachia nchi kwa makaratasi" nawaga sijisumbuagi sana na mambo hayo,kwani haea jamaa hawana adabu kabisa wanaposikia kunauchaguzi watafanya kila linalowezekana ilimradi...
  11. omary mwene

    JamiiForums Mata unawadanganya manchester

    piga tu hao walisha zoea kununu,sasa hivi pija mpaka washike adabu........
  12. omary mwene

    JamiiForums Snura wa majanga amuumbua shilole eti ''sura mpya miguu ya zamani'' shuhudia picha hapa

    hapo wamekutana mbuzi wa bwana heri na shamba la bwana heri. hawa wadada wananikumbusha kipindi cha kina zay b na mwenzie anaitwa nani cjui.......!?
  13. omary mwene

    JamiiForums Unaambiwa hawa ndio watu 10 wenye nguvu Tanzania

    ha ha ha haaaaa mimi mbona hamjanitaja...!? nina nguvu na uwezo wa kugegeda hata wadada wa tano kwa siku,sasa hao wazee wataweza wapi mambo hayo.... !
  14. omary mwene

    JamiiForums Kipanya unaakili sana!

    sasa hivi sembe na pembe za tembo....
Back
Top Bottom