mchlmmnl2
Senior Member
- Jul 13, 2013
- 168
- 56
Cheki TBC au CNN
Dr.JK amemaliza kuhojiwa cnn live muda huu.nimemsikiliza mwanzo mwisho.interview ilihusu ujangili.kwa tathmin yangu amejjtahidi kujibu maswali magumu yalitoka kwa nguli amanpour.
amesema operation tokomeza inarudi.kaomba msaada wa mafunzo kwa askari pori na vifaa.pia kasema masuala ya ushoga muda wake bado.tanzania iachwe 'ipumuwe'
Last edited by a moderator: