Recent content by omari kadiba

  1. O

    JamiiForums Tanzania Prof. Ndalichako: Walimu wameshalipwa madai yao yote

    Dah... cjajua tatzo ni nini ktk nchi yetu.. Mana walimu wanaodai ni wengi mpaka sasa.. km pesa za kucmamia mtihani wa kidato cha nne mwaka jana pamoja na pesa za likizo.. cjajua Tanzania yetu shida ni gani?
  2. O

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    kuna yule mtu ambae yuko lushoto anataka kuha100 Tukuyu nimepoteza contact zake.. km vp anicheki.. zile mishe nilizokuwa nazisubilia ziko poa kwa sasa...
  3. O

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    vp mbona kimya au umesha pata mtu.. Nansio pako njema...
  4. O

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Hv Bulyahulu kwa sasa ni wilaya? Nicheki kwa 0769351092
  5. O

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Lushoto nije korogwe.. idara msingi.. 0713201641
  6. O

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mimi nipo Nansio ukerewe km vp tubadilishane..
  7. O

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Lushoto nije KOROGWE.. IDARA YA MSINGI.. Nichek kwa 0713201641
  8. O

    JamiiForums Tanzania Sifa za kusoma kozi za afya,karibu!!

    Jamani hv certificate ya ualimu ndo haipo tena? mana kimya na hata utaratibu cjaufahamu mpaka sasa.. km kn mtu anajua kuhusu ilo naomba anijuze.. kn dada yangu mdogo ana four ya 26.
  9. O

    JamiiForums Tanzania Sifa za kusoma kozi za afya,karibu!!

    kn kijana ana izo cfa alimaliza 2011 sema ni lumpeni thx y anashindwa hata kufanya iyo application.. vipi iko chuo unachozungumzia ada yake ikoje na kiko wapi? ni day au bording... km vip nilook kwa 713201641
  10. O

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    MIMI NI MWL WA SEKONDARI HAPA TUKUYU MBEYA NI WAKITAMBO KAZINI.. NATAFUTA MWL WA KUBADILISHANA NAE.. YEYE AJE 2KUYU MIMI NIJE KIBAHA, MKULANGA, MORO TOWN AU TANGA MUNICIPAL.. 0769351092
  11. O

    JamiiForums Tanzania Jaji Ramadhani: Haki haikutendeka mchakato wa kupata mgombea 2015

    kama mlimuona mzee c mngemrudishia pesa yake ya 4m.. Mi namkubali sana Mwandosya.. anamcmamo wake... amekaza mwanzo mwisho....
  12. O

    JamiiForums Tanzania Uhamisho wa watumishi wa Serikali

    Na kama utaratibu umebadilika inawezekana hata wasitoe majina km tunavyozani wakabandika majina ktk halmashauri usika tu... waliohama july hawakupata hii presure mana wao b4 JULY wakawa wametupia.
  13. O

    JamiiForums Tanzania Uhamisho wa watumishi wa Serikali

    Jaman.. hakuna fununu yoyote ya ayo majina mpaka sasa..? au wametuma vbali tu kwa halmashauri? mana mpaka sasa sielewi..
  14. O

    JamiiForums Tanzania Tuliochaguliwa UDOM tukutane hapa

    Jamani joining udom zinapatkanaje?
Back
Top Bottom