Recent content by Omar zakir naik

  1. O

    JamiiForums Tanzania Namna ya kufanya biashara toka Nairobi

    Nashukuru sana ndugu yangu kwa muongozo huu, ubarikiwe
  2. O

    JamiiForums Tanzania Kusafirisha mzigo toka Nairobi, Kenya to Dar es Salaam, Tanzania

    Vipi kuhusu ili zuio la kuingia Kenya na kutoka. Namna gani biashara inawezekana kufanyika toka Nairobi mpaka nwanza? msaada
  3. O

    JamiiForums Tanzania Namna ya kufanya biashara toka Nairobi

    Wakuu naomba msaada kama kuna namna ya usafirishaji wa bidhaa kutoka Nairobi mpaka Mwanza. Hii ni kutokana na zuio la mipaka tangu kipindi cha Corona. Sasa hatuwezi ingia ila naona bado biashara mbalimbali zinaendelea nami pia nahitaji bidhaa kutoka Nairobi ila sijui wengine wanafanyaje.
  4. O

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kuhusu manukato, uturi na marashi?

    ni perume za kiwandani ila CONCENTRATED PERFUME OIL yaani haijapunguzwa ubora wake hivo ziko ghali nami nafanya kupima pia ku design kwa kuchanganya kua na manukato ya kipekee
  5. O

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kuhusu manukato, uturi na marashi?

    Je, wajua kuhusu marashi, pafyume, uturi na manukato? MARASHI ni vitu vyenye manukato vinavotumika kuandaa perfume km vile maua, matunda, majani nk. PERFUME ni kimiminika kilichoandaliwa kutokana na marashi Kuna aina tatu za perfume 1. Eau de Cologne na Eau de toilette, hizi ni kiwango cha...
  6. O

    JamiiForums Tanzania Natafuta Ufadhili wa wazo la biashara

    Mwanza
  7. O

    JamiiForums Tanzania Natafuta Ufadhili wa wazo la biashara

    NATAFUTA MFADHILI AU MUWEZESHAJI, MTU BINAFSI AU TAASISI Habari zenu wakubwa kwa wadogo. Naitwa Omar. Mimi ni mjasiriamali mdogo najishughulisha na perfume napatikana Mwanza. Malengo yangu ni kukuza biashara yangu na kuifanya biashara katika hadhi inayowapendeza wengi. Nahitaji mtu binafsi...
  8. O

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo kuhusu biashara ya viatu vya kimasai

    Mkuu Bado unafanya SHUHULI hi?
  9. O

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo kuhusu biashara ya viatu vya kimasai

    Ongera Sana ndugu. Naomba kukuuliza kutokana na experience yako kwan nami nna ndoto ya biashara hii 1.bado unaendelea na biashara hi? 2.vipi ukuaji wa soko ukoje? 3.Soko lako kubwa liko wapi kwa Sasa? 4.unauza jumla au rejareja 5.natakiwa kuandaa shilingi ngapi angalau kuanza?
  10. O

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Jmn samahan kidogo namba kuuliza kwa anaefaham zile tent (hema) zenye vyuma pembe nne wanazotumia mawakala wa kusajili laini zinauzwaje? Msaada plz
  11. O

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba kujibiwa maswali yangu kuhusu namna ya kuanzisha biashara ya chakula

    Habarini wana JF nina mtaji wa sh laki tano (500000) nimefikiria biashara ya kuuza chakula yaan kwani watu wanadai inalipa sana. Ila kwa kua sina uzoefu nayo hivyo nmejikuta nna maswal meng kuhusu mtaji wang km unatosha au laa? Na je nimefanya chaguo sahihi au laa? Pia mchanganuo wa biashara hii...
  12. O

    JamiiForums Tanzania Biashara yangu inaniingizia faida ya Tsh. 200,000 kila mwezi; Je, Niiache niende chuo?

    Mm ni mwanachuo mpaka mda huu ila ndoto zang zte n napigana juu chini nifike angalau hapo ulipo, Uku akuna dili n lebo 2
  13. O

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nataka kwenda kuuza dagaa Kahama, kama kuna mwenyeji

    Soko la dagaa kahama lipo, nmewahi fanya biashara hii, dagaa wenye ushindani wanataka fagaa weupe, wakubwa wasio na mchanga basi apo unaweza uza zaid ya gunia kwa siku ioio
  14. O

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Uokaji (Bakery): Mbinu, Ushauri na Changamoto Zake

    Umethubutu kaka nami naulzia wp unapata mifuko na kuifanyia brand kwa size tofaut tofaut?
  15. O

    JamiiForums Tanzania Business ideas (Bure)

    Naulizia wap naweza pata msaada wa vifungashio hasa pakiti zenye lebo na kopo za plastiki kwa bidhaa km ubuyu
Back
Top Bottom