Recent content by olle bergdahl

  1. olle bergdahl

    JamiiForums Tanzania HusnaThebosslady live on muosha rungu TV show!

    Husna nakupenda sana
  2. olle bergdahl

    JamiiForums Tanzania Wanaume kumi wanaongoza kwa utajiri JF

    Hiyo list upendeleo mtupu
  3. olle bergdahl

    JamiiForums Tanzania Compilation ya Wahenga tu: Kila mwenye picha ya Mhenga aiweke hapa

    [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
  4. olle bergdahl

    JamiiForums Tanzania JF Hip-hop frestyle battle

    Napita wananzengo, soon nitadondoka na songi LA kisukuma
  5. olle bergdahl

    JamiiForums Tanzania Wakuu Natafuta mchumba wa kuja kumuoa.

    Nina umri wa miaka 23. Kazi yangu mfugaji nipo Bariadi. Elimu yangu darasa la saba..lakini sitofautiani na mwenye PHD. Dini yangu mkristo. Kijana mrefu mweusi kiasi. Kabila langu msukuma wa shinyanga vijijini.. Sifa za mchumba nataka msichana awe mweupe mzuri, umri kuanzia miaka 19-25. Sichagui...
  6. olle bergdahl

    JamiiForums Tanzania Hodi wanaJF

    Uzi ndo post?
  7. olle bergdahl

    JamiiForums Tanzania Hodi wanaJF

    Iyo ban ndo nini?
  8. olle bergdahl

    JamiiForums Tanzania Hodi wanaJF

    [emoji3][emoji3] ukitaja chenge unakosea. Sema mtemi chenge kama alivyo mtemi deogratias kisandu. Alafu acha dharau. Ilo disco unalosemea ww wanafanya ivyo koromije..bariadi tumeendelea
  9. olle bergdahl

    JamiiForums Tanzania Hodi wanaJF

    Apost yeye basi. Ebo. Uyo maximum ndo nani? Bando lake au langu?
  10. olle bergdahl

    JamiiForums Tanzania Hodi wanaJF

    Daudi kwao kolomoje huko mashambani
  11. olle bergdahl

    JamiiForums Tanzania Hodi wanaJF

    Hahaha mimi nipo bariadi mjini kwa wajanja. Tunafuga n'gombe na tunalima mavitunguu...nyie mnaokaa darisalama kazi yenu umbea tuu..hamna mifugo kazi yenu mnafuga tunjiwa
  12. olle bergdahl

    JamiiForums Tanzania Hodi wanaJF

    Post yako au yangu?
  13. olle bergdahl

    JamiiForums Tanzania Hodi wanaJF

    Yupi
  14. olle bergdahl

    JamiiForums Tanzania Hodi wanaJF

    Yebhe Nipeko kanamba kako nikupigiemo, umu wananilocha
Back
Top Bottom