Recent content by Olepet

  1. O

    JamiiForums Tanzania Kutoka Dodoma: Fred Mpendazoe atangaza rasmi kurudi CCM

    Duh chezea njaa, labda atapewa uenyekiti wa kijiji
  2. O

    JamiiForums Tanzania Magufuli atumia lugha ya Kiswahili kwenye hotuba ya kumkaribisha PM wa India

    Lugha pia ni kielelezo cha uzalendo wa Taifa letu
  3. O

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Nani huyo hatoshi????
  4. O

    JamiiForums Tanzania Professor Mtanzania kaajiriwa kama dereva Ubalozi wa Kenya Marekani

    Duh hiyo ni ngumu Kumeza, siwezi kuamini kha,
  5. O

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Bungeni Dodoma - 11 Mei, 2016

    Kumbe limeanza kurushwa live ee, safi sana
  6. O

    JamiiForums Tanzania Mkakati mzito wasukwa kuinusuru bandari ya Dar es Salaam na kupungua kwa mizigo

    Wafanyabiasha waliozoea ukwepaji kodi kwa hiyo sasa wamekuwa shocked wanakimbia haha
  7. O

    JamiiForums Tanzania Wabunge wapinga billlioni 6 kurejeshwa Serikalini

    Safari hii wataisoma namba aisee
  8. O

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amsimamisha kazi Mkurugenzi wa jiji la Dar, Wilson Kabwe. Makonda amtuhumu kuongeza mkataba wa maegesho bila mchakato

    Hii safi sana style ya kutosubiri, hapo hapo on the spot atumbuliwe fisadi
  9. O

    JamiiForums Tanzania Mhasibu H/shauri Singida kortini kwa kupokea Tsh29.4m za watumishi hewa

    Yaani wote waliohusika washughulikiwe maana wameiba hela za wavuja jasho muda mrefu sana kha
  10. O

    JamiiForums Tanzania Wazalisha watumishi hewa kikaangoni

    Hatua zichukuliwe kwa waliokuwa wanafaidi na hizo hela
  11. O

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aamua hotuba zake zote ziwe kwa Kiswahili

    Lugha ni moja ya tunu
  12. O

    JamiiForums Tanzania Bandari yasaka meli 65 zilizotoweka

    Kha ilikuwa makontena sasa meli aisee mbona hii majanga sasa, wahusika watumbuliwe fasta
  13. O

    JamiiForums Tanzania SSRA walipa pango bilioni 600 kwa mwaka (Gazeti la Mtanzania)

    Kha sio shamba la bibi tena itakuwa la adui aisee
  14. O

    JamiiForums Tanzania Panama Papers Yawaumbua Mabepari ya magharibi.

    Chezea bepari wee
  15. O

    JamiiForums Tanzania NSSF yazidi kuumbuka: Ufisadi wa ujenzi wa Hoteli Mwanza, jengo la biashara Mzizima

    Duh na maufisadi yote hayo bado wahusika wako mtaani??
Back
Top Bottom