Wabunge wanao2humiwa kuomba rushwa ktk halmashauri ya Tanga ni Mbunge wa Mbozi Mashariki mkoani Mbeya, GODFREY ZAMBI, Mbunge wa Bahi-mkoani Dodoma, OMARI BADLWE na Mbunge wa Kondoa Kaskazini- Dodoma, ZABEIN MHITA wote wana (CCM) madai haya dhidi ya wa2humiwa hao kuomba rushwa yalifichuliwa...