Wabunge watatu kuchunguzwa kwa rushwa

Wabunge watatu kuchunguzwa kwa rushwa

Olendimu

Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
8
Reaction score
0
Wabunge wanao2humiwa kuomba rushwa ktk halmashauri ya Tanga ni Mbunge wa Mbozi Mashariki mkoani Mbeya, GODFREY ZAMBI, Mbunge wa Bahi-mkoani Dodoma, OMARI BADLWE na Mbunge wa Kondoa Kaskazini- Dodoma, ZABEIN MHITA wote wana (CCM) madai haya dhidi ya wa2humiwa hao kuomba rushwa yalifichuliwa bungeni na Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila wakati akichangia ho2ba ya bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha 2011/2012. SOURCE; Dira ya Mtanzania
 
Nani anawachunguza sasa au kamati ya maadili ya chama ya Mhe. Chenge?
Ufafanuzi please!!!
 
Kwa nini waombe Rushwa Halmashauri ya Tanga??..............
 
Back
Top Bottom