Recent content by olejohnson

  1. O

    JamiiForums Tanzania Makabila yenye JUJU KALI, ndo yanatoa viongozi na wateuliwa wengi nchini. Nipe maoni yako

    Makabila ya mikoa ya kaskazini kama Arusha, Tanga, Manyara na Kilimanjaro ina mawaziri na manaibu waziri wengi tu lkn kwavile lengo lako ni kujioshea na kuleta ukabila hujaliona hilo. Makabilaa ya mkoa wa Mbeya yana viongozi wengi sana lkn hujaliona hilo kwasababu lengo lako ni kujioshea na...
  2. O

    JamiiForums Tanzania Makabila yenye JUJU KALI, ndo yanatoa viongozi na wateuliwa wengi nchini. Nipe maoni yako

    Wewe bila shaka utakuwa ni msukuma ambao ni wao mnaopenda sana kujioshea vitu ambavyo havipo. Mimi nimeishi usukumani sana na nilichogundua wasukuma mnapendenda sana ukabila. Huo utafiti wako sio sahihi na ni batili na lengo lake ni kuleta ukabila na kujioshea upuuzi. Makabila ya mikoa ya...
  3. O

    JamiiForums Tanzania Jinsi mabenki yanavyowaibia watumishi wa umma kupitia mikopo

    Kama hujui kitu uliza na sio kutajataja watu ovyo hapa. Walimu tangu kitambo na watumishi wengine wanakopeshwa mikopo toka hazina. Usikariri usichokijua kaka.
  4. O

    JamiiForums Tanzania Serikali imeruhusu Uhamisho wa Watumishi lakini kuna Hamashauri zinakwamisha, Waziri anayehusika aingilie kati

    Walimu unawasingizia bure tu kwasababu wao hawana uwezo wa kukufanya wewe ushinde, wenye uwezo huo ni tume ya uchaguzi.
  5. O

    JamiiForums Tanzania Serikali imeruhusu Uhamisho wa Watumishi lakini kuna Hamashauri zinakwamisha, Waziri anayehusika aingilie kati

    Hajui asemalo huyo. Wanatafuta vichaka vya kujifichia.
  6. O

    JamiiForums Tanzania Serikali imeruhusu Uhamisho wa Watumishi lakini kuna Hamashauri zinakwamisha, Waziri anayehusika aingilie kati

    Kwani mwalimu amekuwa tume ya uchaguzi yenye uamuzi wa kusema nani wamtangaze mshindi? Embu mnaposhindw akwenye kutafuta kula msitafute vichaka vya kujifichia. Mwalimu hana uwezo wowote w akukufanya wewe ushinde uchaguzi kwasababu yeye sio tume ya uchaguzi. Mnamjua muhusika ni tume lkn mmekalia...
  7. O

    JamiiForums Tanzania KERO Utumishi na TAMISEMI, huu ni mkakati maalum kuzuia maombi ya uhamisho kwa watumishi wa umma?

    N Naona mafala mlioshindwa maisha mnajidanganya ili kujifariji. Endeleeni kupoteza muda wenu kwa kujidanganya hivyo.
  8. O

    JamiiForums Tanzania KERO Utumishi na TAMISEMI, huu ni mkakati maalum kuzuia maombi ya uhamisho kwa watumishi wa umma?

    Hiyo ni kulingana na akili zako zilizojaa kamasi. Kwavile wewe sio mwalimu hujui lolote kuhusu walimu kwahiyo tuliza bichwa lako huko. Narudia tena kusema kuwa hujui lolote kuhusu walimu na ndio maana unajidanganya sana ili kujifariji na maisha magumu yanayokupiga huko. Kwa taarifa yako walimu...
  9. O

    JamiiForums Tanzania KERO Utumishi na TAMISEMI, huu ni mkakati maalum kuzuia maombi ya uhamisho kwa watumishi wa umma?

    Kwani wanaohama au wanaotaka kuhama ni walimu pekee? Acha fikra zako potofu juu ya walimu. We kila kitu walimu tu, kwani huoni watumishi wengine? Acha hizo.
  10. O

    JamiiForums Tanzania Jinsi mabenki yanavyowaibia watumishi wa umma kupitia mikopo

    Aisee embu acha hizo fikra zako potofu juu ya walimu kwasababu wakopaji bank ni watumishi wote na sio walimu tu. Mtumishi yeyote anaweza akachukua mkopo mdogo na akasema akatwe miaka mingi. Kila mtu ana uamuzi juu ya muda wa kukatwa kwahiyo acha hizo kashfa zako juu ya walimu. Walimu...
  11. O

    JamiiForums Tanzania Hongera BoT kwa utaratibu wa watumishi kukopa benki kwa njia ya mtandao, japokuwa mikopo umiza mitaani bado imewashinda

    Tahila na mpumbavu ni wewe unayetukana walimu waliokulea na kukufundisha kila kitu. Atukanaye walimu hana akili timamu na kuna matatizo makubwa anayopitia maishani mwake yanayomfanya awe na makasiriko ovyo. Katafute hela ili uache makasiriko ovyo na kuchukia watu bila sababu. We ni **** tu...
  12. O

    JamiiForums Tanzania Hongera BoT kwa utaratibu wa watumishi kukopa benki kwa njia ya mtandao, japokuwa mikopo umiza mitaani bado imewashinda

    Wewe achana na fikra potofu kuhusu walimu wetu wakati wewe mwenyewe hapo ni mkopaji wa hiyo mikopo unayosema. Issue za kukopa ni kila mtumishi na kila mtu mwenye shida zake anakopa. Acha fikra potofu. Usiishi kwa kukariri maisha kaka.
  13. O

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kuboresha taaluma ya ualimu ili kukuza sekta ya elimu Tanzania

    Anza wewe kuwa mstari wa mbele. Kiongozi madaktari, watu wa tra, watu wa bandari na wengine wote unaofikiria wewe wapo wenye mishahara ya laki 4 na elfu 92 na wapo wenye mishahara zaidi ya hapo kama tu ilivyo kwenye kada zingine zote. Kuna wenye elimu ya cheti ambao huwa na kiwango cha chini...
  14. O

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kuboresha taaluma ya ualimu ili kukuza sekta ya elimu Tanzania

    Hapa tanzania hakuna mtumishi asiyekuwa na njaa kaka na ndio maana kila mei mosi watumishi wate tunalilia nyongeza ya mishahara.
  15. O

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kuboresha taaluma ya ualimu ili kukuza sekta ya elimu Tanzania

    Ungekuwa kwenye ualimu ungeujua ukweli halisi kuwa hakuna linalohuzunisha. Watu tunabadili mboga, tumejenga, tuna usafiri, tunasomesha na tumejiajiri kupitia huu huu ualimu. Maisha ni mipango na malengo na ndio maana hadi wauza mkaa wamewazidi maendeleo watumishi wengi tu wa kada mbalimbali.
Back
Top Bottom