Recent content by Ole

  1. Ole

    Hongera Rais wa JMT. Nimeona nyumba wanazojengewa wakazi wa Ngorongoro huku Handeni. Kusema kweli unastahili kuwa Rais wa JMT

    Ukweli umejulikana sasa, sio kweli kwamba Wamasai wanazuia njia za wanyama bali Wamasai wanaondolewa kwa kuuza maeneo hayo kwa Waarabu. Mipango ya kusafirisha Twiga imerudi. https://allafrica.com/view/group/main/main/id/00081506.html ''More than one thousand community members in Northern...
  2. Ole

    An open letter to Foreign envoys violating diplomatic laws and protocols

    Those ambassadors are stupid, and our leaders are useless. A leader will show them the door.
  3. Ole

    CCM: Gazeti la Uhuru limepotosha; Rais Samia hakusema kuwa hatogombea 2025

    Sasa kwanini Shaka hakuweka alichosema rais?
  4. Ole

    Dar: Meli yenye magari 3,743 yawasili bandarini ikitokea Japan

    Kwa hiyo kwa miezi 6 ya kubadili uongozi matokeo yake ndio haya.
  5. Ole

    Nani aliyeandika Katiba ya Tanzania ya mwaka 1977? Majina yao na wasifu wao ni upi?

    Unauliza original au ile iliyowekwa viraka.
  6. Ole

    Tanzania: Court Dismisses Ophir Tanzania's 18.4bn/ - Appeal With Costs

    Tanzania: Court Dismisses Ophir Tanzania's 18.4bn/ - Appeal With Costs - allAfrica.com 9 AUGUST 2021 Tanzania Daily News (Dar es Salaam) Credit: Faustine Kapama THE Court of Appeal has dismissed with costs the appeal by United Kingdom (UK) established mineral giant company, Ophir Tanzania...
  7. Ole

    The King of Clay is back!

    All eyes will be on Rafael Nadal, who has the chance to make history once again at Roland Garros, with victory moving the Spaniard ahead of Roger Federer (20) in the all-time Slams list with 21, with what would be his 14th French Open title.
  8. Ole

    Rais Samia anatuletea Tanzania ya Asali na Maziwa

    Absolutely. Whatever he did is been taken away by her excellence SHH to her cronies.
  9. Ole

    Kwanini TRA sasa hawatangazi mapato ya kikodi ya kila mwezi kama ulivyokuwa utaratibu?

    Ooops benz amepewa Mzee rukhsa dola ooops chijui Bit coin 400 million, lazima Watanzania mtapike tu mpende msipende.
  10. Ole

    Kwanini TRA sasa hawatangazi mapato ya kikodi ya kila mwezi kama ulivyokuwa utaratibu?

    Tangu ameingia bado anatembeza bakuli tu, atajuaje mapato?
  11. Ole

    Kwanini wafanyabiashara wakubwa wakutane na Rais Ikulu badala ya Waziri husika Wizarani?

    Tunasubiri muda wake uishe,afanye haraka na hao wawekezaji wake. Tumerudi kuwa shamba la bibi.
Back
Top Bottom