Angalia nae huyu,hiyo kesi mliyojichanganya tumbo la uharo lazima liwapate,nani kakwambia Chadema wamewaita mabalozi labda uwazuie wewe maana Mulamula yuko hoi kajaribu kuwazuia lakini hola.Kwako wewe unaamini uonevu utakwisha kwa kusaidiwa na ubalozi? Hawa wanaoshindwa hata kukemea utumwa walioufanya kwa africa? Hawa wanaonyonga watu Afghanistan? Hawa wanaotaka haki za mashoga? OK kaka endelea.