Recent content by ole moringe

  1. O

    Kinana, Nape ndani ya Shekhe Amri Abeid Karume Arusha kesho tar 21/03/2015

    ha..ha..haaa...hakuna uwanja wa sheikh amri abeid karume arusha bali upo wa sheikh amri abeid kaluta...be a great thinker usikurupuke
  2. O

    Kinana, Nape ndani ya Shekhe Amri Abeid Karume Arusha kesho tar 21/03/2015

    hakuna uwanja unaoitwa karume arusha bali upo uwanja wa sheikh amri abeid kaluta...usipende kuwapotosha watu..sheikh kaluta ukitaka kumjua uliza upewe elimu na usipende kukurupuka...be a great thinker.
  3. O

    Msaada: Idadi ya Wajumbe wa NEC ya CCM na majina yao

    wajumbe wa kamati kuu wapo 34 ambao watachuja majina ya waombaji wote na kisha majina 3 ndo yatapelekwa nec...halmashauri kuu ya ccm taifa ambayo ina wajumbe wengi kama 360 ili wayapigie kura.
  4. O

    Posho ya madaraka kwa walimu

    ni kweli japo kigezo uwe na shahada ya ualimu hata kama wewe ni mwl mkuu wa sym au mratibu na au mkuu wa shule...vinginevyo huwezi kulipwa..
  5. O

    Mwenyekiti CHADEMA wilaya ya Monduli atangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Monduli 2015

    Wadau, Bila shaka mnampata vizuri huyu mpambanaji JAPHET SIRONGA ambaye aligombea udiwani katika uchaguzi mdogo juni 2013 kata ya Makuyuni ila kutokana na dhulma na ubabe aliofanyiwa hakuweza kushinda na kwa kuwa bwana mkubwa anautaka urais ni wazi jimbo hilo halina mwenyewe. Wale mliopo...
  6. O

    CHANGE OF PLAN: Jesca Kishoa Kumkabili Mwigulu 2015 Iramba, Morali Yarejea!

    mmh...kila la kheri ila jamaaa noma.
  7. O

    Lowassa, wananchi wanakuhitaji zaidi ya unavyowahitaji wewe

    hakuna malipo yoyote..ila elewa hakuna aliye msafi ndani ya ccm lakini angalai kwa Lowassa jamaa anaweza kutuvusha hadi mahali tunapotaka kuwa..maamuzi yake magumu yatasaidia kuzifanya halmashauri zote kuwajibika..
  8. O

    Lowassa, wananchi wanakuhitaji zaidi ya unavyowahitaji wewe

    nakuunga mkono....tupia updates za kutosha na haturudi nyuma..jamaa anakubalika mbaya na makundi yote..Mungu akipanga hakuna wa kutengua mpango wake..Lowasa for president 2015..
  9. O

    Tweets za Binti wa Anna Tibaijuka

    ni kweli sms zake zinakera..ila nasi tujiepushe na matusi..hiyo ndo athari ya mtoto kukosa malezi mazuri kutoka kwa mama yake kama vile huyo mama alivyowakosea wa tz...amechanganyikiwa na lisura lake hovyo aliyejitahidi kuipendezesha kwa vijisent vya mama yake fisadi..
  10. O

    Livingstone Lusinde na Assumpta Mshama mmejisikiaje baada ya Hotuba hii ya Rais Kikwete?

    teh teh teh...umenikumbusha huyo mu ashk majinuni...siku hiyo alinikera hadi nikazima tv kwanza..nafikiri leo alipata aibu sana.
  11. O

    Livingstone Lusinde na Assumpta Mshama mmejisikiaje baada ya Hotuba hii ya Rais Kikwete?

    nahisi ni wa viti maalum..kama ni mbunge wa kuchaguliwa basi hilo jimbo ni kama halina mbunge
  12. O

    Livingstone Lusinde na Assumpta Mshama mmejisikiaje baada ya Hotuba hii ya Rais Kikwete?

    wadau...katika hotuba ya mh rais nimependa sana alivyokuwa anawasuta wale wote waliokuwa wanawatetea wezi wa pesa za escrow...nikimkumbuka yule mama wa viti maalum nahisi amechomwa msumari wa moyoni na ile hotuba..sijui hata akirudi bungeni atawatazaje wenzake kutokana na kauli yake ile ya...
  13. O

    Livingstone Lusinde na Assumpta Mshama mmejisikiaje baada ya Hotuba hii ya Rais Kikwete?

    Wadau...katika hotuba ya mh rais nimependa sana alivyokuwa anawasuta wale wote waliokuwa wanawatetea wezi wa pesa za escrow... Nikimkumbuka yule mama nahisi amechomwa msumari wa moyoni na ile hotuba..sijui hata akirudi bungeni atawatazaje wenzake kutokana na kauli yake ile ya kutetea mafisadi...
  14. O

    kunani matokeo hayatangazwi ya jumla?

    wadau amani iwe nanyi......wakati tukiendelea kupata matokeo ya awali ni nini tatizo linakwamisha matokeo rasmi yasitangazwe?hakika uchaguzi huu pamoja na dosari zilizojitokeza imeichanganya serikali kwani hawakutarajia upinzani kama wangechukua vijiji,mitaa na vitongoji vya kutosha..naamini...
  15. O

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    hapana..huyu ni wa ccm ambaye alikuwa amefanyiwa hiana kwenye kura za maoni walimwengua wapiga kura wake wakakataa na wakaamua kumuapisha..nipo kiteto moto wa mabadiliko ni mkubwa..cdm mjini imeosha mitaa 5..matui mitaa yote kasoro 1..kata ya sunya cdm imechukua vijiji viwili vya sunya na olgira...
Back
Top Bottom