Msaada: Idadi ya Wajumbe wa NEC ya CCM na majina yao

Msaada: Idadi ya Wajumbe wa NEC ya CCM na majina yao

kbosho

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2012
Posts
13,073
Reaction score
6,639
Wana bodi bila kuwachosha naombeni kujuwa idadi kamili ya member wote wa Nec bamoja na majina yao!!!

Kama tujuwahvyo Nec ndio chujio la mwisho la wasaka urais kupitia ccm, ili kuweza kujuwa nguvu ya Lowassa, Sumaye, Ngeleja, Pinda, Wassira, Membe, Migiro, Makamba na wengine....kuwafahamu member wa nec tuna weza kujuwa ni yupi kati yao jina lake litafika mbali na kuteuliwa.

Kwa upande wangu binafsi niki yajuwa majina yote ya membe wa nec nitaweza kubashiri majina matano yatakayo pigiwa kura na nec na kuchanguliwa jina moja...
 
Jery slaa
Samuel.sita
Mwigulu nchumba
Sophia.simba
Mary nagu
Kikwete
Kinana
Nape nauye
Mangura
Husein mwinyi
Dk nchimbi
Harison mwakyembeeee
Mwandosya
Haoo ni baadhi
 
Jery slaa
Samuel.sita
Mwigulu nchumba
Sophia.simba
Mary nagu
Kikwete
Kinana
Nape nauye
Mangura
Husein mwinyi
Dk nchimbi
Harison mwakyembeeee
Mwandosya
Haoo ni baadhi

wapo wangapi? total?...
 
Wana bodi bila kuwachosha naombeni kujuwa idadi kamili ya member wote wa Nec bamoja na majina yao!!!

Kama tujuwahvyo Nec ndio chujio la mwisho la wasaka urais kupitia ccm, ili kuweza kujuwa nguvu ya Lowassa, Sumaye, Ngeleja, Pinda, Wassira, Membe, Migiro, Makamba na wengine....kuwafahamu member wa nec tuna weza kujuwa ni yupi kati yao jina lake litafika mbali na kuteuliwa.

Kwa upande wangu binafsi niki yajuwa majina yote ya membe wa nec nitaweza kubashiri majina matano yatakayo pigiwa kura na nec na kuchanguliwa jina moja...

Soon majina yatadondoshwa hapa JF, ngoja wenye link na orodha kamili ya NEC ya CCM wataleta hapa. Kukupa angalizo tu, ni watu wawili tu ndio wana nguvu kubwa sana ndani ya NEC na mkutano mkuu ambao ni Edward Lowassa akifuatiwa kwa mbali sana na Steven Wassira.
 
Wana bodi bila kuwachosha naombeni kujuwa idadi kamili ya member wote wa Nec bamoja na majina yao!!!

Kama tujuwahvyo Nec ndio chujio la mwisho la wasaka urais kupitia ccm, ili kuweza kujuwa nguvu ya Lowassa, Sumaye, Ngeleja, Pinda, Wassira, Membe, Migiro, Makamba na wengine....kuwafahamu member wa nec tuna weza kujuwa ni yupi kati yao jina lake litafika mbali na kuteuliwa.

Kwa upande wangu binafsi niki yajuwa majina yote ya membe wa nec nitaweza kubashiri majina matano yatakayo pigiwa kura na nec na kuchanguliwa jina moja...

Labda kwa kukuraisishia tu ni kwamba jumla kuna wajumbe 360 na kati ya hao Lowassa anaungwa mkono na wajumbe 286....
 
aisee......na nec ndiyo chujio kuu?...

wajumbe wa kamati kuu wapo 34 ambao watachuja majina ya waombaji wote na kisha majina 3 ndo yatapelekwa nec...halmashauri kuu ya ccm taifa ambayo ina wajumbe wengi kama 360 ili wayapigie kura.
 
wajumbe wa kamati kuu wapo 34 ambao watachuja majina ya waombaji wote na kisha majina 3 ndo yatapelekwa nec...halmashauri kuu ya ccm taifa ambayo ina wajumbe wengi kama 360 ili wayapigie kura.

mkuu mm nataka kuwajuwa hao 34 kwa Majina.
 
Step 1 – Nomination
Aspiring party members pick up forms and look for endorsers / sponsors. A minimum of 200 party members from a minimum of 10 regions are needed for a nomination. Having gathered the necessary signatures, candidates return the forms to the party secretariat.

Step 2 – Grading and recommendations
The party secretariat (of nine people) goes through all the applications and grades them. Then the National Security and Ethics Committee (eight people), chaired by the party chairman (President Kikwete) goes through the list and makes recommendations to the Central Committee for the next step. No candidates are removed from the list at this stage.

Step 3 – Central Committee – down to five

The 32-member Central Committee (CC) / Kamati Kuu reduces the list of applicants down to five. Traditionally there is no voting at this stage – decisions are made by consensus.

The CC includes the President and Vice President of Tanzania and of Zanzibar, the Prime Minister, senior figures in the party secretariat, a few nominated members from the National Executive Committee and a handful of others from CCM-affiliated bodies.

Step 4 – National Executive Committee (NEC) – five to three

The five names selected by the CC are now considered by the 378-member National Executive Committee (NEC) / Halmashauri Kuu, which brings the list down to three through a vote. (In previous years, NEC had fewer members). In theory the NEC can reject the recommendations of the CC, but this has never happened for the presidential nomination.
Membership of NEC includes all CC members plus party chairs and secretaries from each region, and one nominated member from each district (6 per Zanzibar district).

Step 5 – National Congress

The top three from the NEC vote go to the National Congress (Mkutano Mkuu), which votes to elect the CCM presidential candidate.

The congress has around 2,100 members, including all CCM Members of Parliament and of the Zanzibar House of Representatives, as well as a greater number of representatives from each district and from CCM-affiliated bodies.

mkuu mm nataka kuwajuwa hao 34 kwa Majina.

Ninachokielewa, Mtihani mkubwa wa Lowassa kupitishwa kama mgombea wa kiti cha Urais kwa tiketi ya ccm ipo CC (kamati kuuw) ya ccm ambayo wajumbe wengi hawamuungi mkono ikiwa ni pamoja na Nape,Kinana,Kikwete ambao kwa ushawishi wa kiccm hao ndio waweza sema kama wananguvu ya kumpitisha Mgombea yeyote.

Kumbuka kauli ya Kinana aliposema "Hatakama kura zao (Kina Lowassa) zitakuwa nyingi mpaka kufika mbinguni tutakata jina lake" ( Usiniulize alitolea wapi kauli hiyo) Huo ndo msaada pekee naoweza kukupa.

Nb, Kuparurana kwa ccm kwa maslahi ya UKAWA kudumu...!!!!!!

BACK TANGANYIKA
 
Wana bodi bila kuwachosha naombeni kujuwa idadi kamili ya member wote wa Nec bamoja na majina yao!!!

Kama tujuwahvyo Nec ndio chujio la mwisho la wasaka urais kupitia ccm, ili kuweza kujuwa nguvu ya Lowassa, Sumaye, Ngeleja, Pinda, Wassira, Membe, Migiro, Makamba na wengine....kuwafahamu member wa nec tuna weza kujuwa ni yupi kati yao jina lake litafika mbali na kuteuliwa.

Kwa upande wangu binafsi niki yajuwa majina yote ya membe wa nec nitaweza kubashiri majina matano yatakayo pigiwa kura na nec na kuchanguliwa jina moja...

Nime copy na ku paste
Wajumbe 14 walioteuliwa kuwa Wajumbe wa Kamati Kuu ya
Halmashauri Kuu wa CCM ni :-
Wajumbe wa Kamati Kuu Bara
1. Stephen Masatu WASIRA
2.Pindi Hazara Chana
3.Professa Anna Kajumulo Tibaijuka
4. Jerry Slaa
5. Adam Kimbisa
6. Dk Emmanuel Nchimbi
7. William Lukuvi
Wajumbe wa Kamati Kuu Zanzibar:
1. Ndugu Shamsi VuaiNahodha
2. Dk Hussein Mwinyi
3. Profesa Makame Mbalawa
4. Dr Salim Ahmed Salim
5. Dk Maua daftari
6. Hadija .H. Abuu
7. Samia Suluhu Hassan
 
kwani hao wajumbe wote wametoka monduli?

Nguvu ya Lowassa ni nchi nzima.... Hiyo idadi niliyokupa ndio real na ipo katika data base.... Kuna wengine kama 12 wanatarajiwa kuungana na kambi ya ushindi mwezi wa 3 katikati....
 
Wajumbe wa nec ni 100 na zaidi kwa sababu kuna wawakilishi kila walaya, nahisi mtoa mada ulikuwa unauliza wajume wa kamati kuu (cc) ni wangapi
 
Nguvu ya Lowassa ni nchi nzima.... Hiyo idadi niliyokupa ndio real na ipo katika data base.... Kuna wengine kama 12 wanatarajiwa kuungana na kambi ya ushindi mwezi wa 3 katikati....
Endeleeni kujipa moyo
 
Labda kwa kukuraisishia tu ni kwamba jumla kuna wajumbe 360 na kati ya hao Lowassa anaungwa mkono na wajumbe 286....

Muda ukifika Lowasa asipopitishwa na NEC kugombea uraisi wa monduli usikimbie humu Jf
 
Back
Top Bottom