Recent content by oldman z legend

  1. O

    Huduma za Mitandao ya Simu

    Tuache maskhara hili ni jipu kubwa sana yaani tunaliwa kama serikali haipo vile au kwa kuwa wakubwa wana maslahi huko? Mzee wa majipu halioni hili jipu limeoza na linanuka!
  2. O

    Vigezo vya uteuzi wa wabunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA vyawekwa wazi

    Umeshasema bora uendelee na ccm na unakiri ni ccm ni yako sasa cdm inakuhusu nini?
  3. O

    Magufuli yupo wapi

    Wadau ni siku ya tatu leo mgombea uraisi wa ccm haonekani jukwaani na kuna taarifa kwamba mzee mkapa ameitwa kusimama jukwaani ili kuokoa jahazi. Inaleta utata maswali yamekuwa mengi mtaani, mwenye taarifa aliko magufuli tupia hapa tafadhali.!
  4. O

    Tunapoahidiwa katika kampeni za uchaguzi Mkuu 2015, tujikumbushe haya ya 2010

    Mwaka 2010 kuna mambo ccm kwa umoja wao walisema haviwezekani hata kuita ni uwendawazimu. Elimu bure,kupunguza gharama za vifaa vya ujenzi n.k...leo kwa mazoea yale yale wameyakimbia maneno yao wanacopy ilani ya cdm.Naliona anguko la ccm kwa kukiri kwake kukwamisha huduma muhimu za kijamii na...
  5. O

    Serikali ikiifungia Mawio ya akina Kubenea hata siwezi kuumia, nitachukulia kawaida tu

    Mwambie mwakyembe akueleze kwanza alichoficha kulinda serikali isianguke!Umesahau kauli hii ya mwakyembe mapema hivi,au unajitoa ufahamu?Acha kutumika tujenge tz mpya.
  6. O

    Saed Kubenea: Mkinichagua kuwa mbunge, nitawataja waliopata mgao wa pesa za ESCROW kupitia Stanbic

    Namna gani vijana mnafulumia povu bila kumakinika na hoja?Mtoa mada kaandika kubenea ameahidi akiingia bungeni atawataja wahusika kwa kuwa atakuwa na kinga ya bunge na siyo sasa .
  7. O

    Halima Mdee akimbia mahojiano Star TV

    Napata shida sana kwa uandishi kama huu!Jaribu kupunguza mihemuko hata kama umegongwa na mada husika kuliko kuweweseka na kuandika vitu visivyoeleweka.
  8. O

    Tatizo Mfumo!Mfumo!Mbowe kasema....Rushwa,Ufisadi,Demok rasia,Ukandamizaji,Ubabe si Tatizo

    Hata mimi nashangaa mfumo mbovu wa chama cha mapinduzi,nashangaa hali hii ya kukithiri kwa rushwa,wizi na ahadi zisizotekelezeka-Magufuli
  9. O

    CHADEMA hii tamaa ya kwenda ikulu itawatokea puani

    hili jukwaa limevamiwa na watu wavivu kufikiri kuna ,wakati unaweza kuperuzi humu kutwa nzima na ukashindwa kabisa kuchangia mawazo yako!nashindwa kama tatizo bado ni mfumo wa elimu au udumavu tu wa fikra.kilichobaki ni kunukuu vichwa vya magazeti na kupost utumbo kwa mitusi tuu badala ya hoja...
  10. O

    Wana-CHADEMA wafikishwa mahakamani kwa tuhuma za kumtukana Spika na Naibu wake

    hii sasa ni kesi ya kashifa ambayo ni lazima waliotukanwa wajitokeze!swali la kujiuliza ni je,ni ndugai au makinda anayeshitaki?
  11. O

    CHADEMA, acheni kurandaranda mijini,nendeni kwa wapiga kura vijijini.

    kuna watu hunishangaza sana kwa maoni yao humu jamvini,napata shida kuelewa kama watu hao wana uzalendo kweli au huchangia wakiwa na akili za kulalia!ni kuleta ubishi bila hata kupembua usahihi wa kinachojadiliwa!hivi watu kama wanazo family au hata mawazo ya kuwa wazazi wajao?kama jibu ni ndiyo...
  12. O

    Erasto Zambi, umesikia maajabu ya CCM Mbozi?

    mkuu ni godfrey zambi na erasto zambi!
  13. O

    John Mnyika: Sera ya Majimbo ya CHADEMA siri ya Maendeleo

    Hoja ya mnyika iko kitaifa zaidi na yahitaji mtu mwenye uzalendo na ufahamu kuchangia!ushabiki huu wa kisiasa hauwezi kutufikisha popote ukizingatia haka kamfumo ndio kamewaganda hata wabunge wetu walio wengi!kama mfumo uliopo umefeli iweje tusiufumue?
  14. O

    CHADEMA itaitumbikiza Nchi katika UASI na Vurugu

    Huu ni uambukizo wa siasa za kina nape,mwigulu.,'mtu anatapika',anaropoka halafu anaanza kufikiri!mwisho ni kujitetea kwa hoja nyepesi na chakavu kabisa!hebu tufikiri kisasa si kukaa kwenye vivuli vya watu walioshiwa uoni!
Back
Top Bottom