Recent content by Old Moshi

  1. O

    JamiiForums Tanzania Ngazi za Mishahara Tanzania Inestment Centre

    Habarini wakuu, Naomba msaada kujua level za mishahara ya Tanzania Investment centre specifically TIC GS 8 ni kiasi gani? Shukrani kwenu wakuu.
  2. O

    JamiiForums Tanzania Mpya: Viatu vya mtumba kwa sh. 250,000 tu kwa belo

    Ulishanunua kwao wakakupa mzigo chini ya kiwango?
  3. O

    JamiiForums Tanzania Pata nguo za Mitumba, Grade A

    0716147696 naomba niwekwe kwenye hilo group nahitaji nguo
  4. O

    JamiiForums Tanzania Pita hapa vitu vya ndani vinauzwa kwa nusu bei kwa DSM

    Nitumie pucha ya shoe rack 0716147696
  5. O

    JamiiForums Tanzania Kununua Kiwanja au kuanzisha mradi

    Asanteni kwa ushauri wenu wakuu.I think Ishould go for land then
  6. O

    JamiiForums Tanzania Kununua Kiwanja au kuanzisha mradi

    Hayo ni mawazo yangu. Nahitaji na nyie mnishauri kwa kutokana na uzoefu wenu
  7. O

    JamiiForums Tanzania Kununua Kiwanja au kuanzisha mradi

    Habari wakuu. Naombeni ushauri ktk hili Nina options mbili, either kununua kiwanja au kufungua mradi kidogo miezi michache ijayo. Vyote ni vya muhimu na siwezi kuvifanya kwa pamoja maana resources hazitatosha. Nawaza thamani ya ardhi inazidi kupanda naweza kuingia gharama kubwa nikinunua...
  8. O

    JamiiForums Tanzania Kiwanja Mwasonga 32Mx100M kinauzwa

    Hicho kiwanja hakipo ndani ya eneo la kutengeneza mji wa kisasa ule wa mpango na bush?
  9. O

    JamiiForums Tanzania Plots/land/viwanja vya bei nafuu

    Ni vizuri kutoa tangazo lenye taarifa kamili kama viwanja vimepimwa au vina hati, kama kuna huduma za kijamii karibu kama umeme, maji shule, hospital n.k. Maelekezo ya kufika huko hata kwa mtu asiye mwenyeji wa dar pia ni muhimu.
  10. O

    JamiiForums Tanzania Fixed account za benki na utajiri wa haraka haraka

    Mi nimeshaweka hapo i&m minimum amount ni laki moja na hiyo 11% ni per annum, miezi 6 ni 10% kama sijasahau
  11. O

    JamiiForums Tanzania Tunauza Viwanja sehemu mbalimbali Dar es Salaam na maeneo ya Jirani

    Hivyo viwanja vina hati? Mbona hilo swali hujajibu
  12. O

    JamiiForums Tanzania Fixed account za benki na utajiri wa haraka haraka

    Mi naombeni mnisaidie benki gani inatoa interest kubwa. So far najua i&m ndo inatoa 11% kwa mwaka
  13. O

    JamiiForums Tanzania Mwenye habari za interview Oryx

    Second interview itakua ijumaa ndugu dyuteromaikota
  14. O

    JamiiForums Tanzania Mwenye habari za interview Oryx

    ukipata basi taarifa tujuzane ili tusiendelee kujipa fake hopes
  15. O

    JamiiForums Tanzania Mwenye habari za interview Oryx

    Naomba kama kuna alie apply Oryx position ya assistant accountant au anaejua kua watu wameshaitwa au tuendelee kua na matumaini
Back
Top Bottom