Recent content by OLD KOROGWE

  1. OLD KOROGWE

    JamiiForums Tanzania Nchi kubwa sasa kuongozwa na Wanawake.......maajabu!

    Wanaweza, acha wadhihirishe ubora wao kivitendo!!
  2. OLD KOROGWE

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya kuendelea kugharimia safari za Jakaya Kikwete imetoka wapi?

    Bado mambo flaniflani hayajakamilika may be miaka mitatu ijayo ndo ntakuwa huru na kutulia kijijini kulima nanasi.
  3. OLD KOROGWE

    JamiiForums Tanzania Rais mstaafu Kikwete aibukia Uingereza: Atunukiwa Heshima ya (CPTM)

    Aisee, sina lakusema!
  4. OLD KOROGWE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini mabinti weupe wa Kisukuma ni dili?

    Mi nimeoa mwanamke white wa kisukuma ni mbabe balaa. Anajiona quin ila nampenda kwakuwa ni mpenda maendeleo hakunaga!
  5. OLD KOROGWE

    JamiiForums Tanzania Kutoka Uwanja wa Furahisha: Ibada ya kuaga mwili wa Alfonce Mawazo

    R.I.P Mawazo.
  6. OLD KOROGWE

    JamiiForums Tanzania Uongo mwisho wake ni kukatwa tu, huyu sasa anaisoma namba

    Post za hivi sizipendi, hapa kazi tu, majungu peleka kwa mafisadi na wezi!
  7. OLD KOROGWE

    JamiiForums Tanzania Unaruhusiwa kuwaka Bendera ya Taifa katika makazi?

    Kutokana na uchapaji kazi wa Magufuli mi nimeweka bendera ya taifa kwenye kichwa ninapo lalia naanza kuipenda nchi yangu
  8. OLD KOROGWE

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Tanga umekamilika kuliko mikoa yote Tanzania

    Tanga raha, sikumoja nitarudi nyumbani Duga.
  9. OLD KOROGWE

    JamiiForums Tanzania Kiazi Cha Ajabu Kimechimbwa,Tena Kiazi Kitamu

    Dunia inamambo hii, loh!
  10. OLD KOROGWE

    JamiiForums Tanzania Kiazi Cha Ajabu Kimechimbwa,Tena Kiazi Kitamu

    Au kilipandwa makaburini?
  11. OLD KOROGWE

    JamiiForums Tanzania Kwa hili suala la MSD, Rais Magufuli na wana-JF kuna kitu hamkijui, ngoja niwasaidie!

    Chukua tano, wenye uelewa tumekuelewa.
  12. OLD KOROGWE

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Hakuna sherehe ya miaka 54 ya Uhuru mwaka huu, Badala yake mkafanye Usafi

    Viva Magufuli, Saluti kwako kiongozi wangu.
  13. OLD KOROGWE

    JamiiForums Tanzania Inawekana mtu kupata magonjwa ya zinaa anaposex na wachawi?

    Uwezekano upo asilimia kubwa!
  14. OLD KOROGWE

    JamiiForums Tanzania Unapiga Picha na Polisi wa Uingereza Je Bongo unaweza kupiga Picha na Polisi?

    Mbona unaguna?
  15. OLD KOROGWE

    JamiiForums Tanzania Nimegundua,nina mkosi

    Hivi wapi naweza kupata huduma ya kusafisha nyota?
Back
Top Bottom